HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
sitashangaa kama IT naye yupo humu🤔🤔 coz mada ya status za null ilipo pamba moto ndo akamua kuziondoa, ku cool pressure za watu na kushusha temper na expectations za watu kuwa washapata kibarua, na pia kuwarudishia moyo wale ambao walikua hawana izo """null"" kwa maana ambaye alikua hana basi alinyongea sana, ila saiz huenda nao wana hamasa ya kusubir pdf coz raia wote hawana null🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.


Hakika uyu ni best IT endapo kama mawazo yangu yatakuwa sahihi.
Kuna status zinasoma not selected for practical interview na hakukua na practical interview
 
Kuna status zinasoma not selected for practical interview na hakukua na practical
Nadhani ni kwa wote wale waliokuwa na slected for null ambao walitoka written to oral kama wenzio walivo share shuhuda zao humu pia hawa kuwa na practical. kaka, so usiwaze kila kitu naimani kipo sawa.
 
Back
Top Bottom