HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
sitashangaa kama IT naye yupo humu🤔🤔 coz mada ya status za null ilipo pamba moto ndo akamua kuziondoa, ku cool pressure za watu na kushusha temper na expectations za watu kuwa washapata kibarua, na pia kuwarudishia moyo wale ambao walikua hawana izo """null"" kwa maana ambaye alikua hana basi alinyongea sana, ila saiz huenda nao wana hamasa ya kusubir pdf coz raia wote hawana null🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.


Hakika uyu ni best IT endapo kama mawazo yangu yatakuwa sahihi.
 
Kama mtu alifanya Practical lazima iwe Selected for Oral Interview....
Aah sawa mku . nakumbuka status ilipitia stage nne. selected for practical ikaja selected for oral interview ikaja selected for null na sasa selected for oral interview.

kwakuwa ndo utaratibu tuzidi kuomba na kumuamin mungu huku tukisubir pdf.
 
Back
Top Bottom