HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
BMaisha haya unabadilibadili vipi namba,,!!! Hata kama umepia ni Bora ulinew maana vitu vizuri kama hvyo vinaweza kukupita
kama ukifanikisha kuomba kazi kupitia recruitment portal wanakutumia email ya kufinikiwa kufanya application. ushauri wangu kwa hii ishu ya random selection kutoka database ni vyema watumie njia tatu za kumpata mlengwa kwa kupitia email, normal text na kupiga simu. njia tatu zote ikiwemo notification kupitia email ni muhimu pia.
 
Barua si huwa zinatumwa kwa njia ya posta kama ukishindwa kuifuata? Hivyo kama mtu hana nauli, anaisikilizia tuu posta.
Process za Kutuma Barua Posta itachukua Siku nying km wametoa Siku 7 ufate Barua PSRS bhs tambua mpk Siku 7 ziishe ndy waanze kuwaza kutuma Posta.

Siku imetumwa Labda na Wewe uliweka Sanduku la Wilaya mpk ije ifike huko ni Siku 3+ Bahati Mbaya Kijijini kwenu (Ni Mbali na Makao Makuu ya Wilaya uwenda ni tarafa nyingne Kabisa) wanakutambua km NDABAKUBALANYE (Hii n kawaida kufahamika Kwa Jina Moja kwenye maeneo yetu) arafu ukute Mzee wako ndy km Wazee wengi ELIMU hawakuipata vzr Miaka Yao nae anatumia Jina la Kabila ILAMBONA(wanakijiji wanamtambua hivyo).

Arafu we wakati unasoma ulitia uzungu CHRISTOPHER FRANCE JOSEPH mpk waje wakupate kazi Ipo.


Ukijua Uchungu wa Mchakato wa Ajira (Kuanzia Written mpk Oral Interview mpk Database then Placement).

Jitahidi Kuishi kwenye misingi ya UJOBLESS tu BARUA tunazifata PSRS na hatusubiri mpk zitumwe POSTA.
 
je kama namba ya simu mtu aliacha kuitumia.. email ni mbadala
Hapa ndy Kuna umuhimu wa Kufanya Updates za taarifa yako unapoona zinakuwa sio VALID tena km hayo Mambo ya Address (Sanduku la Plata) na Namba za Simu plus Email hivi vyote vinaweza kuwa Edited
 
Siyo mimi mkuu. Mimi bado navurugwa na status za mara "null" mara "practical" ilihali sikufanya practical.
Huyo mwana alikua anasubiria ASA na status yake inasoma Selected for practical. Hiyo ya mwaka jana alikua hana habari nayo tena na ndio ilikua inasoma "null"
Watu wa ASA economics wote nawajua huyo cjui ni nani[emoji3][emoji3][emoji3] kaupiga mwingi
 
Leo kuna PDF itatoka mida ya Saa 9 Mchana.
Mwezi wa 4 trh 9 ilikuwa Jumamosi na Siku hiyo kulikuwa na Mechi ya Arsenal.

Leo Mwezi wa 2 sio trh 9 lkn ni karibu na Trh 9 nayopia ni Jumamosi na Leo Pia Arsenal anacheza.
Ikitoka PDF ya TRA na Taasisi nyingne lakini Mkeka ulikuwa Mrefu sn.


Watu wa TRA Hakikisha Status imesoma Selected for Practical 🤣🤣🤣🤣🤣 mtaleta Ushuhuda Jioni ya Leo
 
Leo kuna PDF itatoka mida ya Saa 9 Mchana.
Mwezi wa 4 trh 9 ilikuwa Jumamosi na Siku hiyo kulikuwa na Mechi ya Arsenal.

Leo Mwezi wa 2 sio trh 9 lkn ni karibu na Trh 9 nayopia ni Jumamosi na Leo Pia Arsenal anacheza.
Ikitoka PDF ya TRA na Taasisi nyingne lakini Mkeka ulikuwa Mrefu sn.


Watu wa TRA Hakikisha Status imesoma Selected for Practical 🤣🤣🤣🤣🤣 mtaleta Ushuhuda Jioni ya Leo
Na iwe Ivo tupate placement
 
Back
Top Bottom