Kwa hiyo atafute nauli na suti ya kufuata baruaSelected for Practical naona inamaana jina lishakuwa uploaded kwenye pdf.. baddo siku ya kurelease tu[emoji16]
Barua si huwa zinatumwa kwa njia ya posta kama ukishindwa kuifuata? Hivyo kama mtu hana nauli, anaisikilizia tuu posta.Kwa hiyo atafute nauli na suti ya kufuata barua
Kwa hali ya sasa ata kwa kukopa lazima uifate dodomaBarua si huwa zinatumwa kwa njia ya posta kama ukishindwa kuifuata? Hivyo kama mtu hana nauli, anaisikilizia tuu posta.
Ni Jambo gumu sana kujibuPlacement za TRA lini wadau
Hakuna sms nzuri kama hiyo. Mwana kala shavu toka database. Alipiga oral mwaka jana mwanzoni mwanzoni. Alikua anaelekea kumaliza muda wa kukaa database. Status: Selected for nullView attachment 2513266
Ilivyoandikwa unaweza ukadhani ni wale matapeli😂😂Hakuna sms nzuri kama hiyo. Mwana kala shavu toka database. Alipiga oral mwaka jana mwanzoni mwanzoni. Alikua anaelekea kumaliza muda wa kukaa database. Status: Selected for nullView attachment 2513266
Sms ambayo ukipokea lazima kwanza useme Asante Mungu.Halafu baadae unafurahi kwa sauti Huku ukiruka.Halafu usingizi hauji,unaandaa Nguo kwa ajili ya kwenda DODOMA.Hakuna sms nzuri kama hiyo. Mwana kala shavu toka database. Alipiga oral mwaka jana mwanzoni mwanzoni. Alikua anaelekea kumaliza muda wa kukaa database. Status: Selected for nullView attachment 2513266
HakikaSms ambayo ukipokea lazima kwanza useme Asante Mungu.Halafu baadae unafurahi kwa sauti Huku ukiruka.Halafu usingizi hauji,unaandaa Nguo kwa ajili ya kwenda DODOMA.
Aisee ni shangwe sana..Mpe hongera yake Sana au kama ni wewe Hongera sana sana.Mungu ni mwema sana.
Siyo mimi mkuu. Mimi bado navurugwa na status za mara "null" mara "practical" ilihali sikufanya practical.Sms ambayo ukipokea lazima kwanza useme Asante Mungu.Halafu baadae unafurahi kwa sauti Huku ukiruka.Halafu usingizi hauji,unaandaa Nguo kwa ajili ya kwenda DODOMA.
Aisee ni shangwe sana..Mpe hongera yake Sana au kama ni wewe Hongera sana sana.Mungu ni mwema sana.
Huyu inaonesha hakutokea Kwa pdf yoyote Ile,,, hapo anajulishwa Kwa Simu tuHakuna sms nzuri kama hiyo. Mwana kala shavu toka database. Alipiga oral mwaka jana mwanzoni mwanzoni. Alikua anaelekea kumaliza muda wa kukaa database. Status: Selected for nullView attachment 2513266
naona ni vyema wakatuma ujumbe kupitia emailHakuna sms nzuri kama hiyo. Mwana kala shavu toka database. Alipiga oral mwaka jana mwanzoni mwanzoni. Alikua anaelekea kumaliza muda wa kukaa database. Status: Selected for nullView attachment 2513266
Email kwa wabongo ni changamoto inaweza pita hata miezi mitatu mtu hajaingia kwa email.. So sim/meseji ni faster sananaona ni vyema wakatuma ujumbe kupitia email
Huwa wanapiga simu na sms pia.Email mtu anaweza kuwa Hana smartphone unafikiri atapataje Ujumbe???naona ni vyema wakatuma ujumbe kupitia email
watumie njia zote email, normal text, callingHuwa wanapiga simu na sms pia.Email mtu anaweza kuwa Hana smartphone unafikiri atapataje Ujumbe???
Uwe unaangalia pande zote usijiangalie wewe peke yako.
ASA bado haijajulikana kama atapata au laa. ASA na TARI nadhani walifanya usahili wiki1 hivyo huenda wakatoa placement kwa pamojaHuyo Bora aende huko maana ASA, TARI nahisi wamegoma kutoa placements ni mwezi wa 3 huu Sasa Toka Oral ifanyike
Mbali na sms, alipigiwa simu pia.naona ni vyema wakatuma ujumbe kupitia email
je kama namba ya simu mtu aliacha kuitumia.. email ni mbadalaMbali na sms, alipigiwa simu pia.