HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Matokeo yametoka kwa kada karibu zote, waliobakia ni FINANCE MANAGEMENT OFFICER II nahisi, ingia kwenye tovuti ujioneeee
Kada za TBC pia bado Transport Officer II
Screenshot_20230131-013100.jpg
 
Uhamiaji maswali yake


1. Define
Foreigner, immigration, bonified citizen.

2. Importance of immigration to economy.

3. Regional Africans block that Tanzania is a member.

4. Required documents to travel abroad.

5. Andika wimbo wa taifa

Sikufanikiwa kwenda interview ila maswali yalikua open, Mungu awatangulie wote mliofanya written.
 
Back
Top Bottom