HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Nyie wenye Selected for Practical mtulie!!

Ss tuwaite watu walio na Selected for nyingne nje ya neno Practical waje tuwaone Unaweza Jifariji kumbe nyote inasoma Neno ilo ilo?!

Selected for ............. Nje na Practical Karibuni kutoa Ushuhuda Jamvini.
"Selected" [emoji3]
 
Imebadilika toka Selected for null to Selected for Oral
 
Since 2021..ni mda kidogo,afu na hii ya mda/lga ninayoenda ifanya j4 nimeandikiwa selected for oral interview kwenye app
Duh hapo no more database muda ushapita tyr...ok keep on followup status after oral...utatupa feedbck mkuu
 
waziri kasema wanaajiri 1760 kutoka kwenye database mwezi hu wa pili..

sasa ninaswali, utajuaje upo database? je ni selected for oral interview au selected for null.
 
Hapo ni kuchungulia kila PDF kwenye sehemu ya Placements
 
waziri kasema wanaajiri 1760 kutoka kwenye database mwezi hu wa pili..

sasa ninaswali, utajuaje upo database? je ni selected for oral interview au selected for null.
Sasa wote hamfahamu hili swali dhima yake ni nini?
 
Back
Top Bottom