TUnique
JF-Expert Member
- Jan 20, 2023
- 287
- 665
tufahamisheSasa wote hamfahamu hili swali dhima yake ni nini?
tufahamisheSasa wote hamfahamu hili swali dhima yake ni nini?
Subiria pdf Mkuu, hapa huna tofauti na bondia anerusha ngumi hewani preserve your energy.tufahamishe
Maisha ni kupata na kukosa so ukikosa pia usishangaewaziri kasema wanaajiri 1760 kutoka kwenye database mwezi hu wa pili..
sasa ninaswali, utajuaje upo database? je ni selected for oral interview au selected for null.
KweliMaisha ni kupata na kukosa so ukikosa pia usishangae
Kuna wahaya wanachukua 36M bank uko kwa mwezi na huyu ni average joe kuna wanaopata zaidi, tulienda kufanya presentation anakuuliza live hivi wewe unapata mshahara kiasi gani mzee baba hata 5M hauchukui can you imagine.Ila nyie hii dunia sio fair emagin bongo hii hii kunamtu analipwa mil 20 kwa mwezi at the same tume kuna tunaozongania kupata ajirawalau hata hio laki… aisee
Aisee sio poa MkuuKuna wahaya wanachukua 36M bank uko kwa mwezi na huyu ni average joe kuna wanaopata zaidi, tulienda kufanya presentation anakuuliza live hivi wewe unapata mshahara kiasi gani mzee baba hata 5M hauchukui can you imagine.
Ukiambiwa "life is not fair" ndio wanachomaanisha, kuna watu hata kula ile mlo mmoja wanapata kwa tabu sana maisha haya.Aisee sio poa Mkuu
Selected for Practical Interview -Appmazaga one hebu weka updates za status huko kwako.. zinasomekaje Sasa Mkuu..?
ulifanya interview ngpSelected for Practical Interview -App
Selected for Oral Interview-Web
Written to Oral tu.ulifanya interview ngp
naona wamekuita ukafanye iyo practical uliocha kufanyaWritten to Oral tu.
No practical interview...
Selected for Practical naona inamaana jina lishakuwa uploaded kwenye pdf.. baddo siku ya kurelease tu😁Written to Oral tu.
No practical interview...
ulifanya practical
Nawe yako Iko hivyo bosi..?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Ile First letter P ni Sawa Sawa na PlacementSelected for Practical naona inamaana jina lishakuwa uploaded kwenye pdf.. baddo siku ya kurelease tu😁