Zekoddo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 1,885
- 4,605
Weka picha basiata kwangu null imebadilika kuwa oral interview. hivii hii ni kwa wote au ndo tushakandwa kwa ndoige ?
Weka picha basiata kwangu null imebadilika kuwa oral interview. hivii hii ni kwa wote au ndo tushakandwa kwa ndoige ?
Hiyo ni comment iliyowahi kuandikwa humu kwenye huu uzi huko juuHii nimeiona sehemuView attachment 2511469
Weka picha mkuu nione na mmBado ipo. Hata kwangu ipo.. na zipo interview mbili moja selected for oral nyingine selected for null ndo maana nikataka kujua tofauti zake
Huyo jamaa duuuh,Jamaa kachukuliwa tena toka kanzidata hapo achague mwenyewe kazi kwake, abaki kufundisha au aende ofisini akafanye kazi za iT😁
Ni humu humu, comment za nyuma/juu huko.Heeee skujua my dear nahis huo uzi ulinipita,shukran.
Kama waweza nipa link nkauzoom
Na unaiweza kwelii hiyo shughuli bwana wizy 🤣🤣Swala la status mniachie mimi🤣🤣🤣, wengine subirini pdf.
Kama written tu, tena wanaweza kurudia hata swali moja la written.Kila saa maswali mapya yananijia kwa head,naomba kuuliza jamani msinichoke.
Hivi oral hayo maswali mnayosema wanauliza ya darasani ni kulingana na job description au wanapick random kama ilivo written
Wizy yupo kazini mda huu.🤣Na unaiweza kwelii hiyo shughuli bwana wizy 🤣🤣
Duh aseee,hata sielew nisome kipi niache kipiKama written tu, tena wanaweza kurudia hata swali moja la written.
Sent using Jamii Forums mobile app
Fuatilia maswali yaliyo wahi kutoka kwenye kada yako mara nyingi oral wanrdia japo 1 au 2Duh aseee,hata sielew nisome kipi niache kipi
Kumbe msuli wake ni kama written tu doh
Sawa asanteFuatilia maswali yaliyo wahi kutoka kwenye kada yako mara nyingi oral wanrdia japo 1 au 2
Hivi hujawahi kufanya interview yoyote kabisa mkuu?Kila saa maswali mapya yananijia kwa head,naomba kuuliza jamani msinichoke.
Hivi oral hayo maswali mnayosema wanauliza ya darasani ni kulingana na job description au wanapick random kama ilivo written
Asisahau na eyes contact.sio anaangaliwa halafu yeye anaangalia chini au anakwepesha machoHivi hujawahi kufanya interview yoyote kabisa mkuu?
Maana una wasiwasi sana.ila usiogope coz principles za interview ni zile zile tu,tena si ajabu wewe ukawazidi hata English hao jamaa wa utumishi..halafu uzuri wao wenyewe hawana tabia ya kukuchimba sana kama private.
So relax tu.
Mimi interview ya heslb niliingia nikiwa na confidence ya hatari coz siku chache nyuma nilikua nimetoka kufanya interview flani kwenye mult-national company, so nilikua na confidence kiasi mpaka mkuu wa jopo akaniuliza.
Sjawahi kabisa mkuu ndo mana nataka nipate hata clue,though nshaambiwa hapo juu nipige msuli ule ule wa written tu so ni kubahatisha kama nlivobahatsha written.Hivi hujawahi kufanya interview yoyote kabisa mkuu?
Maana una wasiwasi sana.ila usiogope coz principles za interview ni zile zile tu,tena si ajabu wewe ukawazidi hata English hao jamaa wa utumishi..halafu uzuri wao wenyewe hawana tabia ya kukuchimba sana kama private.
So relax tu.
Mimi interview ya heslb niliingia nikiwa na confidence ya hatari coz siku chache nyuma nilikua nimetoka kufanya interview flani kwenye mult-national company, so nilikua na confidence kiasi mpaka mkuu wa jopo akaniuliza.
[emoji23][emoji23][emoji23]sawa mkuu nmekupataAsisahau na eyes contact.sio anaangaliwa halafu yeye anaangalia chini au anakwepesha macho
Ni kada gani umeitwa?[emoji23][emoji23][emoji23]sawa mkuu nmekupata
Asisahau na eyes contact.sio anaangaliwa halafu yeye anaangalia chini au anakwepesha macho