HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Tatizo hapo liko wapi, mnataka muwe databank milele ili wengine wapate lini kazi?
Atleast mseme muda uongezwe na najua haiwezi kuzidi miaka miwili
At least miaka 3½ maana uhakika wa nafasi nao ni changamoto ndio maana miezi 12 huwezi kupata hio nafasi mwisho databank ina expire unarudia tena palepale unafanya unaingia databank miezi 12 nafasi haipo unaanza na moja unakua ni ujinga mzigo
 
At least miaka 3½ maana uhakika wa nafasi nao ni changamoto ndio maana miezi 12 huwezi kupata hio nafasi mwisho databank ina expire unarudia tena palepale unafanya unaingia databank miezi 12 nafasi haipo unaanza na moja unakua ni ujinga mzigo
Ngoja tuone ila miaka mitatu, sidhan kudadek
 
Ngoja tuone ila miaka mitatu, sidhan kudadek
Kwa sababu ya Maslahi yao binafsi wanachofanya sio kusaidia vijana ila ni biashara na nyinyi vijana ndio wateja wa hio biashara, sijui imekaa kaaje ila uhalisia ndio huo km ikiwa miaka 3½ sidhani km watashindwa kupatia ajira vijana 100 mpaka 200 au 300 waliopo ndani ya databank ndani ya miaka 3½, hio ndio maana yangu sio kinyume na hapo, na kijana akishajua yupo kwenye databank basi apewe notification kabisa asisumbue sumbue kwenye application zingine ili kupisha wengine nao wapate nafasi, hio ndio maana yangu km wamenielewa basi walifanyie kazi na hilo sio hii ya miezi 12 halafu ajira zenyewe nafasi za kulenga inakua haina maana
 
Haiwezi kua sawa na ufaulu wa 50 mimi kuna interview wameniambia niko data base na nmejibu swali moja tu kwa uhakika hapo kuna kuitwa kweli ni uongo
Wapo watu wamejibu maswali yote kwa ufasaha na interview zote wamegonga 90+ kisha wakalazwa kwenye databank sababu nafasi za hio kada ni chache n still wakaambulia "Your Databank was expired" ndio imeishia hapo maana yake nafasi hio itatoka tena waombe tena wakapambane tena waingie tena kwenye databank kisha circle iwe vilevile km mwanzo yaan unazunguka palepale kila baada ya miezi 12 miaka nenda miaka rudi, so what is this?
 
Cha msingi ni mtu akifika oral na kufaulu apangiwe kitu cha kazi....hi kurudi rudia usahili inachosha sana
Nafasi chache watu ni wengi ndio hapo kwenye wale waliofaulu oral wanatupwa databank sijui database miezi 12 ikiisha hawajapata pa kukuweka unatolewa unaonekana km waliofeli written tu wakati umefaulu oral vizuri tu, unaanza na moja.. kwa hio shida sio nini kupangwa na kufaulu oral shida nafasi chache na muda wa kukaa kwenye hio databank ni mchache
 
Mshahara ni uleule kwa tutorial assistant uwe udsm au tengeru hata kama kuna utofat haufik 200k
Tofauti haipo kwenye mshahara. Labda kama ikitokana na extra pays kama kuna chuo kimelala sana kwenye masuala ya tafiti, projects nk basi hali ni tete.

Mshahara wa mkufunzi University na institutes ni uleule tu
 
Back
Top Bottom