HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Ninawashukuru wote mliochangia uzi huu, umekua ukinipa moyo sana. Nililamba asali miezi 2 iliyopita. Na baada ya taratibu zote hatimae nimeanza kazi, nimepata check namba na mshahara. Leo nimetimiza mwezi mmoja rasmi.
Niwatie moyo watu wote mlio kwenye mchakato huu, Mwenyenzi Mungu awatie nguvu na awafungulie baraka zake muende sehemu mnazotamani mioyoni mwenu. Nilipata kazi baada ya muda mrefu wa kusubiri, na nilipata wakati niliokua pengine nimekata tamaa na sitarajii, siku naona placement letter ilikua ni mix ya kutoamini na kushangaa. Na huu ndio ulikua mwaka wangu rasmi wa kuachana na application serikalini, nilikua na interview mbili tu zimesalia za majibu, na moja ndio ilinitoa. Na kulikua hakuna tangazo la kazi wala call for interview kwa kada yangu tena.
Ninawaomba wote mnaosoma hii muongeze ibada kwa Mungu, na maombi yenu yatajibiwa kwa kiwango cha juu. Nimeletwa wizara na taasisi ambayo sikuitarajia, na to be honest nilishasahau kama nili apply. Lakini wakati wa Mungu ni wakati sahihi, na mipango yake ni tofauti sana na ya wanadamu. To cut a long story short, never give up, aluta continua. Cheers, salute.
Ulisubili kwa muda gani? Baada ya Oral
 
EBU MUULIZE KAKA ATUPEE MOYOOOO WENYE STATUS HIZOOO MAANAKE WATU WANA MINDSET TOFAUT KUNA AMBAO WAANSEMA IKIWA SELECTED FOR ORAL NDO UNAPEWA PLACEMENT LETTER EBUUU MUULIZE KWAKEE ILIKUWAJEEE
Nina ushuhuda nayo hii mdogo wangu wa dam alikua kanzdata Lakin juzi kat mwez uliopita akakuta selected for oral tar 30 Sept akakuta barua kwa account
 
Wakuu, habari za jioni.

Nimepitia mijadala mbalimbali kuhusu suala la kuondoa vyeti (qualifications) vilivyowekwa kwenye Ajira Portal, lakini hadi sasa sijafanikiwa kupata taarifa kutoka kwa mtu ambaye amewahi kufanikiwa kuondoa cheti cha qualification, kwa mfano cheti cha Shahada (Degree Certificate).

Nimegundua kuwa kwenye sehemu ya cheti changu cha Degree kuna chaguo la “Request Removal”.

Je, kuna yeyote ambaye amewahi kutumia njia hii na kufanikiwa kuondoa cheti/qualification kupitia chaguo hilo?

Nitashukuru kwa yeyote mwenye uzoefu wa moja kwa moja au taarifa sahihi kuhusu utaratibu huo.
Screenshot_20261003_140104.jpg
 
Wakuu, habari za jioni.

Nimepitia mijadala mbalimbali kuhusu suala la kuondoa vyeti (qualifications) vilivyowekwa kwenye Ajira Portal, lakini hadi sasa sijafanikiwa kupata taarifa kutoka kwa mtu ambaye amewahi kufanikiwa kuondoa cheti cha qualification, kwa mfano cheti cha Shahada (Degree Certificate).

Nimegundua kuwa kwenye sehemu ya cheti changu cha Degree kuna chaguo la “Request Removal”.

Je, kuna yeyote ambaye amewahi kutumia njia hii na kufanikiwa kuondoa cheti/qualification kupitia chaguo hilo?

Nitashukuru kwa yeyote mwenye uzoefu wa moja kwa moja au taarifa sahihi kuhusu utaratibu huo.View attachment 3683218

Kwa nini wew usiwe wa kwanza. tukapata uzoefu kupitia kwako
 
Uwekewe marks 70 baadae ukutane na data bank expired.
Muda wa hio databank ndio imekaa kijinga sana huwezi kuweka miezi 12 ikiwa huna uhakika wa nafasi za kazi za kuwapa hao waliopo kwenye databank ni bora uweke muda mrefu, sasa hili suala la watu kurudia yaleyale kila baada ya miezi 12 na huku wanafaulu interview inakua km ujinga fulani na watu wanatumia gharama, databank mtu ilibidi akae walau miaka 3½ ikipita hapo hawajapa sehemu ya kumuweka wamuondoa itakua fair kabisa sio hii miezi 12 na nafasi zenyewe hazina uhakika inakua ni michache mnoo
 
Back
Top Bottom