HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Unaonaje kusiwe na databank kabisa. Ukikosa hata kama ulifaulu wakupige chini. Wachukue only top scorer
maana halisi ni kwamba kwa ufaulu wa juu mara nyingi si watu wengi hufaulu. Room ya kuwapata few ambao wana guarantee ya ajira ni bora kuliko wengi na guarantee hakuna. Hata hivo kama kuna 80 nyingi na upanganji wa placement unaendana na ufaulu wewe wa 50 lazima uexpire tu japo ulikua na hope kwa mwaka mzima. Tunaita 'oblivious'
 
usikatishe mtu tamaa kaka kama ipo ipo tuuu hata kama ana ufaulu wa 50
 
Hivi mda gani majibu ya oral yanakuwa tayari mi nilifanya interview tarehe 5 mwezi wa tisa hadi saizi account inasoma selected for oral interview.
Me nilifanya oral April 13 2026 ila mara nyingi Matokeo ni Kuanzia week 3 mpaka miezi kadhaa
 
Back
Top Bottom