SheriaE
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 622
- 549
Haiwezi kuwa solution hio. Wanaeza weka ufaulu wa 90 na bado wakafaulu wengi. Ko ikawa ni yale yale. Labda database ifutwemaana halisi ni kwamba kwa ufaulu wa juu mara nyingi si watu wengi hufaulu. Room ya kuwapata few ambao wana guarantee ya ajira ni bora kuliko wengi na guarantee hakuna. Hata hivo kama kuna 80 nyingi na upanganji wa placement unaendana na ufaulu wewe wa 50 lazima uexpire tu japo ulikua na hope kwa mwaka mzima. Tunaita 'oblivious'