HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
sasa mtu kama katoboa unamuweka roho juu ilii iweje. Pale wanatakiwa waweke tu neno SELECTED FOR JOB au PLACEMENT LETTER IS LOADING waatu waanze kusherekea mapema....
lazima tuuu mngeongeaaa hata kama mngewekewa placement letter kaka mfano kuna kada ilikuwa inataka 50 na imechukua 50 kamili walofaulu walobakii na wao wapo data bank kaka
 
alaf sasa ukute ww ndo ulikuwa na confidence kali ukawa una kimini unacho kiongea ndo maana umefaulu kaka kumbuka kuna watu wengi wameandikiwa pia wapo chinii ya pass mark mzeeeee kwahyo ulifanya vzur so kama kuna uchawiiii
Na hv mm nna kigugumizi, ah kudadeki walikuwa wanajionea maajabu 😂
 
hivi kuna interview za mwaka jana bado mna received huko jamani maana kuna interview nimeapply toka mwaka jana mpaka leo inasoma received tu sjui waliiahirisha
 
Sasa mzee, kwan Ukisikia kufaulu ww unaelewa nini, marks za ufaulu kwa kada nyingi n kuanzia 50%

Kama ww umefaulu kwa 60% na kuna Wengine kama 20 juu yako wamefaulu kwa 90% na nafasi ya kazi n moja au mbili unadhani nani ataanza kupata kazi na wote nyie mmefaulu.?

Em tuache kulalamika ovyo
Kwan unapokuwa select kwenda oral wanachoangalia ufahulu ulikuwa kwenye passmark zao kwhy kama cut marks 100-80 hapa wote wanakuwa wamefaulu haijalishi una 100 au 80 mnapewa nafasi sawa ila kwanzia 79 below not selected

Kwa hoja yako kama wanaangalia ufahulu wa alama kama upo below inabidi utambulike kama below average passmark

Hapa hatulalamiki cha msingi ufafanuzi wakuelewa zaidi kutokuwa na maswali yasiyokuwa na majibu
 
Hivi mkuu Mbaga Jr mpaka leo hujapata placement?ujue wengi tumekukuta kwenye huu uzi?kutakua kuna namna haiko sawa mzee wangu
N suala la muda tuu, pia sio kila kitu ni cha kila mtu, serikali haiwezi kuajiri watanzania wote maybe mm n mmoja wa hao ambao Hatuwez kuajiriwa na serikali.

Uzuri n kwamba bado naishi bila hiyo ajira rasmi.
 
Nimekupata mzee wangu
 
Poleni sana wasaka ajira kupitia Ajira portal......Your Databank has expired umekomaa kusoma umefaulu unaambiwa hayo maneno.....mwaka mzima nafasi zimekosekana.......Nafikiri hapa kunakitu hakiko sawa......mnaendelea kutangaza ajira za kada hiyo hiyo....hali yakuwa mnamajina ya waliofaulu mnasubilia mwaka uishe muwateme.
 
Mwenye shibe hamjui mwenye njaa
 
Niliwahi kuandika comment kama hii huko nyuma kwamba ,, mwiba mwingine amboa wasaka ajira AKA jobless wanaenda kukutana nao ni huu " your data bank has expired " lakin wajua wa jamiiforum walikuja na kunipinga kwa maneno makali kwamba oooh sijui nalia Lia wengine walidiliki hadi kunifananisha na mtoto wa kike ..

Hili jambo linaenda waumiza wengi sana ,, utumishi kama inawezekana wabadilishe hapa data bank usiwe na ukomo Yani mtu akae huko hata miaka 20 as long as bado anasifa ya kupata kazi ...
 
Kabisa
 
Naunga Mkono Hoja
 
Mm naona kuhusu database kuexpire ni sahihi labda tuseme waongeze muda maybe iwe miaka mitatu.

Kwa sababu ukisema hakuna kuexpire maana ake kama watu waliopo database wapo 100, na kama ikitokea ajira zao wanabebwa mmoja mmoja kwa mwaka maana yake mpaka waishe itabidi ipite miaka mia, sasa h itakuwa n maumivu kwa waliomaliza chuo kwenye fani hiyo hiyo.

Mm nadhani h n fursa kwa watahiniwa wapya kujua yaliyopo huko kwenye usaili na pia kama ulishindwa kupata kazi wakati uliopita, bc ukirudi tena unakuwa unajua n wapi nilikosea mwanzo hvy n wapi nirekebishe

Pia watuambie kuwa taasisi fulani hawataki watu wa database, mana mm niliwah kuitwa kweny usaili kweny taasisi hiyo hiyo ambayo bado nipo database kwa fani ile ile.

Anyway, khs kupata kazi sio bidii yako katika kufanya vzr kwenye usaili, bahati pia inaweza kukubeba.
 
Kwaiyo katika kipindi cha miaka 3 kila mwaka wakachukua mtu mmoja mmoja baada ya miaka 3 kuisha wana expire watu 97 , wanatangaza tena kazi nafasi mtu mmoja anatakiwa watu wanatuma maombi wahitimu wapya pamoja na wale wahitimu wa zamani walio expire 97 wanachukua tena mtu mmoja 100 wanabakia data bank baada ya miaka 3 wanaexpire mwendo ni ule ule . Hii sababu yote ni kutokana na watafuta ajira ni wengi ukilinganisha na ajira zinazotolewa ,data bank ipo kama haipo au pengine ni neno la kisiasa tu
 
Kikawaida nafasi moja huitwa oral watu 3 then wawili huwekwa database tuwe realistic kidogo.
 
Back
Top Bottom