KisiwaChaJagwani
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 426
- 728
Wanadai wame upgrade system kwhy sasa ukwel unajua kama upo kwenye mfumo au lahHaya mambo haya tusiyazingatie sana mtu unakuwa database nahuitwi kazini maana yake nini sasa,,,hawajui tu maumivu tunayopitia unaenda interview mara kibao uko tu database kazini huitwi..mwisho wa siku unakutana na stutus ya database expered,haya ni maumivu yasiyo na kipimo,, et uanze tena upya Dah