HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
MABADILIKO MAPYA KWENYE “MY APPLICATION” – AJIRA PORTAL

Kwa waombaji ambao tayari wamewahi kufanya usaili kupitia Ajira Portal, kuna baadhi ya mabadiliko yanayoonekana kwenye sehemu ya My Applications, ambapo status ya maombi inaweza kuonyesha hatua ambayo mwombaji amefikia katika mchakato wa usaili.

Baadhi ya status zinazoweza kuonekana ni:

1. WRITTEN INTERVIEW – HAKUFAULU

Kwa mwombaji aliyefanya usaili wa maandishi lakini hakufikia kiwango kinachohitajika, taarifa ya maombi inaweza kuonekana ikiwa imebadilika kwenye akaunti yake.

2. ORAL INTERVIEW – DATABANK

Mwombaji aliyefanya usaili wa mdomo na kufikia kiwango kinachohitajika anaweza kuwekwa kwenye DATABANK. Hii ina maana kuwa anaweza kuzingatiwa kwa nafasi zitakapopatikana kulingana na taratibu za ajira.

3. SCORED BELOW AVERAGE

Status hii inaweza kuonekana kwa mwombaji ambaye alifanya usaili wa mdomo lakini hakufikia kiwango kinachohitajika.

4. DATABANK EXPIRED

Mwombaji aliyewahi kuwekwa kwenye DATABANK anaweza baadaye kuona DATABANK EXPIRED endapo muda wa kuwa kwenye kanzidata umefikia mwisho bila kupata nafasi ya ajira.

MUHIMU KWA WALIOPO DATABANK

Kama ulifanya oral interview na ukaona DATABANK, kutokuitwa kazini mara moja hakumaanishi kwamba umefeli. Unaweza kuendelea kusubiri hadi nafasi itakapopatikana na kuchaguliwa kulingana na taratibu husika.

Pia, usiache kuomba kazi nyingine! Kama unaona nafasi mpya imetangazwa na unatimiza vigezo, usisite kuomba hata kama tayari upo DATABANK.

Usijifungie kwenye nafasi moja kwa sababu huwezi kujua nafasi yako ya ajira itatokea kupitia tangazo gani.

Endelea kufuatilia AjiraPort kila siku kwa taarifa mpya za ajira, usaili, majina ya walioitwa kazini na nafasi nyingine za kazi.

AjiraPort — Usikose Nafasi Yako!
Pitieni akaunti zenu wadau
 
Hawa Utumishi hawaeleweki au n taasisi ndio hazieleweki, unaweza kujikuta upo database ila ajira yako ikatangazwa tena 😂

Ila oral ya mwisho hii sijui imekuwaje niko data bank wakat sikujibu maswali mawili mazima na mengine nilijibu kipuuzi, au marks za ufaulu zimepunguzwa mpaka 10% 😂
🤣🙄🙄🙄🤣🤣🤣
Kuna mabadiliko
Kuna mapya gan
 
Bwana wale tunaodanganyana sijui oral et wanaangalia sijui ulivojibu unavojiamin sijui apearance nikuambie tu mule kuna panel nyingi sana kuna panel wao wana roho safi kabisa hawana hiana na kuna panel wanakunja sana hii interview nilijibu vizur sana kwa kujiamin sana kijana smart kabisa shat langu jeupe saf tai safi suarual nyeus saf lugha safi na maswal yalikua mepesi tu lakini ona hapo scored below average hizi mambo inategemea panel yako siku hiyo wameamka vip na bahat nilichukua namba za wale wote tulifanya kweny hiyo panel hakuna alie toboa hata mmoja wale wazee walikua na roho mbaya sana
 
Attachments

  • Screenshot_20260907_100115_Trust Wallet.jpg
    Screenshot_20260907_100115_Trust Wallet.jpg
    155.4 KB · Views: 10
Bwana wale tunaodanganyana sijui oral et wanaangalia sijui ulivojibu unavojiamin sijui apearance nikuambie tu mule kuna panel nyingi sana kuna panel wao wana roho safi kabisa hawana hiana na kuna panel wanakunja sana hii interview nilijibu vizur sana kwa kujiamin sana kijana smart kabisa shat langu jeupe saf tai safi suarual nyeus saf lugha safi na maswal yalikua mepesi tu lakini ona hapo scored below average hizi mambo inategemea panel yako siku hiyo wameamka vip na bahat nilichukua namba za wale wote tulifanya kweny hiyo panel hakuna alie toboa hata mmoja wale wazee walikua na roho mbaya sana
ni huzuni kwakweli
 
Inawezekana upo sahihi, mm oral ya mwisho nilizingua knoma mpaka nikakata tamaa kuingia ajira portal, ila sa hv nashangaa niko database 😂
 
Mh mbona tukiwah kuwauliza watu wa utumishi wakasema kila usaili unajitegemea, hakuna mambo ya kuchanganya usaili na kugawanya mara mbili
Kama saili yako inahusisha usaili wa practical, matokeo ya mwisho wanachukua matokeo ya oral jumlisha matokeo ya practical wanagawa kwa 2 kupata average kwaiyo kama ulifanya vizuri practical inaweza kukubeba .
 
YAH ina practical, bc labda hiyo n sababu
 
Kwhy passed and stored in data bank inamaana oral umefahulu unasubir kituo cha kazi? Au umewekwa kapuni mpk nafasi nyingine ziwe wazi nahitaji ufafanuzi kwa hili
Haya mambo haya tusiyazingatie sana mtu unakuwa database nahuitwi kazini maana yake nini sasa,,,hawajui tu maumivu tunayopitia unaenda interview mara kibao uko tu database kazini huitwi..mwisho wa siku unakutana na stutus ya database expered,haya ni maumivu yasiyo na kipimo,, et uanze tena upya Dah
 
Wanadai wame upgrade system kwhy sasa ukwel unajua kama upo kwenye mfumo au lah
 
Back
Top Bottom