HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
yote tisa kumiiii ina kupa atleast moyoo kidogo kuwa lolote linaaweza likatokea so lets all tuaminiii kuwa tutakutana na hzo placement later wakubwaaaasem

yote tisa kumiiii ina kupa atleast moyoo kidogo kuwa lolote linaaweza likatokea so lets all tuaminiii kuwa tutakutana na hzo placement later wakubwaaaa.
Sijawah ona ufaulu kisha ukose nafasi hii nadhan kuna namna utumishi kuna msosi wanaandaa walaji muwe wavumilivu tu
 
Sijawah ona ufaulu kisha ukose nafasi hii nadhan kuna namna utumishi kuna msosi wanaandaa walaji muwe wavumilivu tu
Sasa mzee, kwan Ukisikia kufaulu ww unaelewa nini, marks za ufaulu kwa kada nyingi n kuanzia 50%

Kama ww umefaulu kwa 60% na kuna Wengine kama 20 juu yako wamefaulu kwa 90% na nafasi ya kazi n moja au mbili unadhani nani ataanza kupata kazi na wote nyie mmefaulu.?

Em tuache kulalamika ovyo
 
Yn hata ile ya kujiitroduce nahisi nilichapia 😂
Uchawi upo aisee, Ila inawezekana mm n wa mwisho huko database, nilipata 50% 😂
alaf sasa ukute ww ndo ulikuwa na confidence kali ukawa una kimini unacho kiongea ndo maana umefaulu kaka kumbuka kuna watu wengi wameandikiwa pia wapo chinii ya pass mark mzeeeee kwahyo ulifanya vzur so kama kuna uchawiiii
 
Sasa mzee, kwan Ukisikia kufaulu ww unaelewa nini, marks za ufaulu kwa kada nyingi n kuanzia 50%

Kama ww umefaulu kwa 60% na kuna Wengine kama 20 juu yako wamefaulu kwa 90% na nafasi ya kazi n moja au mbili unadhani nani ataanza kupata kazi na wote nyie mmefaulu.?

Em tuache kulalamika ovyo
sure kaka
 
Back
Top Bottom