HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Jamaa yangu kaandikiwa passed and stored in data bank .. lakn Sasa ni interview ambayo oral alifanya mwaka jana mwezi 8 .

Lakin ukiangalia PDF zinazotoka wapo kwa waliofanya oral kuanzia mwenzi wa 12 mwaka jana mpaka mwaka huu mwezi wa 8 .. Ina maana Kuna PDf zitakazotoka ambazo taraehe yake itarudi nyuma Tena ??.. au ndiyo baba Jane bye bye angalie tu interview nyingine huko mbeleni ?
 
Mwnyw naona hvy kwangu, sasa najiuliza mbona sikuitwa kazini kama kweli nilikuwa database
 
MABADILIKO MAPYA KWENYE “MY APPLICATION” – AJIRA PORTAL

Kwa waombaji ambao tayari wamewahi kufanya usaili kupitia Ajira Portal, kuna baadhi ya mabadiliko yanayoonekana kwenye sehemu ya My Applications, ambapo status ya maombi inaweza kuonyesha hatua ambayo mwombaji amefikia katika mchakato wa usaili.

Baadhi ya status zinazoweza kuonekana ni:

1. WRITTEN INTERVIEW – HAKUFAULU

Kwa mwombaji aliyefanya usaili wa maandishi lakini hakufikia kiwango kinachohitajika, taarifa ya maombi inaweza kuonekana ikiwa imebadilika kwenye akaunti yake.

2. ORAL INTERVIEW – DATABANK

Mwombaji aliyefanya usaili wa mdomo na kufikia kiwango kinachohitajika anaweza kuwekwa kwenye DATABANK. Hii ina maana kuwa anaweza kuzingatiwa kwa nafasi zitakapopatikana kulingana na taratibu za ajira.

3. SCORED BELOW AVERAGE

Status hii inaweza kuonekana kwa mwombaji ambaye alifanya usaili wa mdomo lakini hakufikia kiwango kinachohitajika.

4. DATABANK EXPIRED

Mwombaji aliyewahi kuwekwa kwenye DATABANK anaweza baadaye kuona DATABANK EXPIRED endapo muda wa kuwa kwenye kanzidata umefikia mwisho bila kupata nafasi ya ajira.

MUHIMU KWA WALIOPO DATABANK

Kama ulifanya oral interview na ukaona DATABANK, kutokuitwa kazini mara moja hakumaanishi kwamba umefeli. Unaweza kuendelea kusubiri hadi nafasi itakapopatikana na kuchaguliwa kulingana na taratibu husika.

Pia, usiache kuomba kazi nyingine! Kama unaona nafasi mpya imetangazwa na unatimiza vigezo, usisite kuomba hata kama tayari upo DATABANK.

Usijifungie kwenye nafasi moja kwa sababu huwezi kujua nafasi yako ya ajira itatokea kupitia tangazo gani.

Endelea kufuatilia AjiraPort kila siku kwa taarifa mpya za ajira, usaili, majina ya walioitwa kazini na nafasi nyingine za kazi.

AjiraPort — Usikose Nafasi Yako!
 
Attachments

  • IMG-20260906-WA0015.jpg
    IMG-20260906-WA0015.jpg
    63.6 KB · Views: 10
Jamaa yangu kaandikiwa passed and stored in data bank .. lakn Sasa ni interview ambayo oral alifanya mwaka jana mwezi 8 .

Lakin ukiangalia PDF zinazotoka wapo kwa waliofanya oral kuanzia mwenzi wa 12 mwaka jana mpaka mwaka huu mwezi wa 8 .. Ina maana Kuna PDf zitakazotoka ambazo taraehe yake itarudi nyuma Tena ??.. au ndiyo baba Jane bye bye angalie tu interview nyingine huko mbeleni ?
kuwekwa kwenye data inamaana ukifaulu na ikitokea nafasi wanataka watu waliopo kwenye data wanakuchukua. Zingatia IKITOKEA NAFASI
 
Back
Top Bottom