KisiwaChaJagwani
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 433
- 740
Kwhy passed and stored in data bank inamaana oral umefahulu unasubir kituo cha kazi? Au umewekwa kapuni mpk nafasi nyingine ziwe wazi nahitaji ufafanuzi kwa hili
Yeah HakikaKuna kada ukiwa database kuchomoka ni chap sana
Umefaulu oral upo database kusubiri nafasi ikipatikana kwa ajili yako upewe kaziKwhy passed and stored in data bank inamaana oral umefahulu unasubir kituo cha kazi? Au umewekwa kapuni mpk nafasi nyingine ziwe wazi nahitaji ufafanuzi kwa hili
Kuwekwa kapuni na kusubiri kituo cha kazi kuna utofauti gani?Kwhy passed and stored in data bank inamaana oral umefahulu unasubir kituo cha kazi? Au umewekwa kapuni mpk nafasi nyingine ziwe wazi nahitaji ufafanuzi kwa hili
Bas kwahil utumishi wapewe pongeziKuwekwa kapuni na kusubiri kituo cha kazi kuna utofauti gani?
Ww Tulia, ikifika wakat wako utakumbukwa, cha msingi shukuru upo data bank
Bas kwahil utumishi wapewe pongeziKuwekwa kapuni na kusubiri kituo cha kazi kuna utofauti gani?
Ww Tulia, ikifika wakat wako utakumbukwa, cha msingi shukuru upo data bank
Kuna wengin status zinasoma DATA BANK tuUmefaulu oral upo database kusubiri nafasi ikipatikana kwa ajili yako upewe kazi
Sijajua kama wapoBas kwahil utumishi wapewe pongezi
Kuna wengin status zinasoma DATA BANK tu
Ww kujiapiza kutokufanya interview za serikali haina maana utumishi waache kufanya kazi zao kwenye akaunti yako, ww endelea na misimamo yakoNimekuta nimeandikiwa passed and stored in data bank ile oral ya NAOT niliofanya sijaelewa ina maana gani? Maana nilishajiapiza sitafanya tena interview za serikali.
Labda kwa sababu barua zenu zipo tayari 😎Sasa mbona wengine account zipo vile vile selected for oral interview tu yan kuna watu tuna gundu hata mabad
Hawa Utumishi hawaeleweki au n taasisi ndio hazieleweki, unaweza kujikuta upo database ila ajira yako ikatangazwa tena 😂Mbaga Jr umeshapata ajiara matako yako kuanzia kesho tutaanza kukuona pale tbc na kina dijaro arungu
Huu mfumo unaonesha mapungufu makubwa yaliyopo huko psrs kuna watu kibao wanadai hawakufanya oral lakin wameandikiwa passed and stored in data bank wengine tuliofanya oral haijaandikwa kitu ipo vile vileHawa Utumishi hawaeleweki au n taasisi ndio hazieleweki, unaweza kujikuta upo database ila ajira yako ikatangazwa tena 😂
Ila oral ya mwisho hii sijui imekuwaje niko data bank wakat sikujibu maswali mawili mazima na mengine nilijibu kipuuzi, au marks za ufaulu zimepunguzwa mpaka 10% 😂
Si hiyo kada ina practical?? Wamechukua matokeo ya practical wakajumlisha na oral wakagawa kwa mbiliHawa Utumishi hawaeleweki au n taasisi ndio hazieleweki, unaweza kujikuta upo database ila ajira yako ikatangazwa tena 😂
Ila oral ya mwisho hii sijui imekuwaje niko data bank wakat sikujibu maswali mawili mazima na mengine nilijibu kipuuzi, au marks za ufaulu zimepunguzwa mpaka 10% 😂
Mh mbona tukiwah kuwauliza watu wa utumishi wakasema kila usaili unajitegemea, hakuna mambo ya kuchanganya usaili na kugawanya mara mbiliSi hiyo kada ina practical?? Wamechukua matokeo ya practical wakajumlisha na oral wakagawa kwa mbili
YAH mzee kuna kitu hakipo sawaHuu mfumo unaonesha mapungufu makubwa yaliyopo huko psrs kuna watu kibao wanadai hawakufanya oral lakin wameandikiwa passed and stored in data bank wengine tuliofanya oral haijaandikwa kitu ipo vile vile
itakua kwenye oral wanaangalia muonekano tu 🤣 na the way unapresent sio nini unachopresentHawa Utumishi hawaeleweki au n taasisi ndio hazieleweki, unaweza kujikuta upo database ila ajira yako ikatangazwa tena 😂
Ila oral ya mwisho hii sijui imekuwaje niko data bank wakat sikujibu maswali mawili mazima na mengine nilijibu kipuuzi, au marks za ufaulu zimepunguzwa mpaka 10% 😂
Ushamba tabia za kikeNje ya Mada Mbaga Jr hapo nikichukua hiyo interview serial number niki cross check na majina ya call for interview husika nakupata majina yako pamoja na adress yako, anyway wewe ni mtu safi hujawahi kunitukana 😀😀😀