HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Huwa kuna waliopata placement kutoka kwenye database halafu ukapangiwa taasisi tofauti na ile mfano umeingia Database ya BOT, uje upangiwe Posta ?
 
Siyo kweli hawapangi kwa serial no ,ila ukitaka kumjua hapo itabidi kuwahusisha na watu wa ajira portal kumjua tofauti na hapo huwezi kumfahamu .
 
Nachomaanisha kama jina lako ni la 17 kwenye hiyo kada mliyoitwa interview namba yako ya interview ni lazima iwe imeishia na 17. Kama unabisha njoo na ushahidi.
 
53674.jpg

Hatimae washanichana ukweli hakuna tena matumaini ni kusaka nafasi nyingine.. 😁 😁
 
Hii DATABANK lakini wenye ajira za kudonoa donoa nafasi moja moja wengi mwaka utakuwa unapinduka wanakutana na your Databank has expired unarudi tena kule kule ulikotoka .
 
Fresh tuu, kwan usipoandikiwa ndo itakufanya upate kazi?
 
🤣🤣🤣🤣🤣Hawa hayaeleweki wanakuandikia databank afu unakuta wanatangaza ajira hizo hizo walizokuweka databank
Hahaha Kaaaaaazi kweli kweli mfumo unatuchanganya jobless mpaka hao wanao uendesha... 😁 😁
 
Back
Top Bottom