HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Kabisa!
Kwa muda niliokuwa nafuatilia huu uzi, nimeshuhudia watu wengi sana wakilamba asali na bado wengi tu watakuja kulamba asali.
Hivi kua huko ajira portal hakunaga connection?
 
Wakuu,nichukue nafasi hii ya kipekee kuwashukuru nyote,pdf ya leo imeniona..kama mnakumbuka tarehe 19 August 2026 tulifanya oral ya Auditor officer ii mwajiri akiwa ni NAOT,hatimaye leo mkeka umetoka na mimi nimo.
Asanten sana
Hongera mkuu
 

Attachments

  • IMG-20260906-WA0000.jpg
    IMG-20260906-WA0000.jpg
    29.2 KB · Views: 11
  • IMG-20260905-WA0010.jpg
    IMG-20260905-WA0010.jpg
    39.6 KB · Views: 11
  • 1788677179514.jpg
    1788677179514.jpg
    14.9 KB · Views: 10
Back
Top Bottom