Kabisa!Aaah ila Psrs hawatabiriki kabisa yaani
Mambo ni mengi aisee, vingine tunaishi kwa matumaini tu.

Mimi nishaacha kuwafatilia wakinihitaji wataniitaKabisa!
Mambo ni mengi aisee, vingine tunaishi kwa matumaini tu.
September to rememberHappy new month !
September to remember.
😂😂Hizi kazi bana,wengine tunazitaka na wengine hawazitaki.
Jamaa yangu kapangiwa kazi kutoka database economist ii huko halmashauri ya busokelo,kakaa mwezi mmoja tu kapiga kazi chini,karudi zake dar kuendelea na mhindi wake.anasema kufanya kazi halmashauri ni kujitakia umasikini wa hali ya juu sana.
Kuna wengine wanaliliaHizi kazi bana,wengine tunazitaka na wengine hawazitaki.
Jamaa yangu kapangiwa kazi kutoka database economist ii huko halmashauri ya busokelo,kakaa mwezi mmoja tu kapiga kazi chini,karudi zake dar kuendelea na mhindi wake.anasema kufanya kazi halmashauri ni kujitakia umasikini wa hali ya juu sana.
Ndio hivyo mkuu,tunatofautiana sanaKuna wengine wanalilia
kazi kweli kweli. Kwamba kwa Muhindi ndio kuna utajiri?Hizi kazi bana,wengine tunazitaka na wengine hawazitaki.
Jamaa yangu kapangiwa kazi kutoka database economist ii huko halmashauri ya busokelo,kakaa mwezi mmoja tu kapiga kazi chini,karudi zake dar kuendelea na mhindi wake.anasema kufanya kazi halmashauri ni kujitakia umasikini wa hali ya juu sana.
Yaani ameikimbia busokelo?Hizi kazi bana,wengine tunazitaka na wengine hawazitaki.
Jamaa yangu kapangiwa kazi kutoka database economist ii huko halmashauri ya busokelo,kakaa mwezi mmoja tu kapiga kazi chini,karudi zake dar kuendelea na mhindi wake.anasema kufanya kazi halmashauri ni kujitakia umasikini wa hali ya juu sana.
Yes yesYaani ameikimbia busokelo?
Anasema anaona bora kuliko huko busokelo.kazi kweli kweli. Kwamba kwa Muhindi ndio kuna utajiri?
Huyo rafiki yako haya maamuzi yake atakuja kuyajutia wakati ambao itakuwa too late na hawezi kuajiriwa tena serikaliniYes yes
Huyo jamaa sio mkamaliaAnasema anaona bora kuliko huko busokelo.
Tatizo wanatupanga katikati ya pori hata biashara uwez fanya mjini kuna fursa nyingi lakini pia ukipata pesa kuna pakuitumia sasa porini pesa unaitumiajeHizi kazi bana,wengine tunazitaka na wengine hawazitaki.
Jamaa yangu kapangiwa kazi kutoka database economist ii huko halmashauri ya busokelo,kakaa mwezi mmoja tu kapiga kazi chini,karudi zake dar kuendelea na mhindi wake.anasema kufanya kazi halmashauri ni kujitakia umasikini wa hali ya juu sana.
Kaka kuna pdf huko lete ushuhudaAnasema anaona bora kuliko huko busokelo.
Nimetoboa mkuu wanguKaka kuna pdf huko lete ushuhuda