Official planner
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 247
- 332
Mimi nimekata tamaa na 28 kumbe kuna watu wana 32+ na wanaendelea na mapambanoMiaka 32 unasema umri umeenda?
Mbona wewe ni age mate wangu kabisa ?
Ninawafahamu watu wana 35+ wamelamba asali mwaka huu.