Wanajamvi,
Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
kuwekwa kwenye data inamaana ukifaulu na ikitokea nafasi wanataka watu waliopo kwenye data wanakuchukua. Zingatia IKITOKEA NAFASI
[/QUOTE
Kumbe milango bado migumu sana kufunguka kwa waliondikiwa passed and stored in data base
Sasa wakuu, Naombeni mnipe utofauti uliopo kati ya iliyoandikwa databank na nyingine imeandikwa passed & stored in the data bank
Kwa mujibu wa miongozo yao Database inaanza kuhesabika siku matokeo yamepitishwa au kuidhinishwaSo this means, wanaanza kuhesabu kuanzia ile siku wametoa placement?
Mfano oral mmefanya April, placement ikatoka June, so hapa wanaanza kuhesabu kuanzia June?
Mwanzo waliweka databank ila sahivi wamebadili na kuweka passed & Stored to the databaseTuwe na subira ,, watakuja kutolea ufafanuzi zaidi huko mbeleni , naona kwenye maelezo yao hili wamelisahau .. au itakuwa wote wameandikiwa passed and stored in data base.
Kuna Taasisi wao hawataki kuchukua watu wa database wao wanataka kuendesha saili zao wenyewe kuanzia mwanzo ndiyo maana unaona hivyoWakuu
Kwanza nawapongeza na kuwashukuru utumishi kutuletea hii ishu ya kujijua upo database.
Ila mimi nina maswali najiuliza na nashindwa kupata jibu.
Kwangu pako hivi 👇
View attachment 3664512
1. Hiyo ya kwanza, binafsi nilijibu ovyo kinoma, Yn mwnyw natoka kwenye oral najua kabisa nmezingua mana sikujibu maswali mawili mazima, na hayo mengine niliyojibu nilikuwa nabahatisha tuu.
Sasa nashangaa leo niko database 😂
2. Hiyo ya tatu n ya mwezi October 2025, sasa najiuliza, kama nilifaulu na kuwekwa database, imekuwaje sijaitwa kazini na walitangaza nafasi zingine ambazo ndo hiyo namba moja hapo ya June 2026?
Mfano kwenye hiyo picha hapo, saili zote ni za taasisi moja ya TBC, ingekuwa n database kutoka taasisi nyingine nngeelewa zaidi.Kuna Taasisi wao hawataki kuchukua watu wa database wao wanataka kuendesha saili zao wenyewe kuanzia mwanzo ndiyo maana unaona hivyo
Ile ya mwanzo hujachukuliwa kwakua hakuna nafasi iliopatikana ikipatikana nafasi sehemu ambayo wanachukua watu database utaitwa
Hiyo Ya TBC oral mlikuwa wangapi??Mfano kwenye hiyo picha hapo, saili zote ni za taasisi moja ya TBC, ingekuwa n database kutoka taasisi nyingine nngeelewa zaidi.
Anyway, nmekuelewa.
Kama 20 hvHiyo Ya TBC oral mlikuwa wangapi??
Basi TBC wakiwa na uhitaji wa haraka wa watumishi wa hiyo kada mliofanyia usaili basi watachukua kwenye database hiyoKama 20 hv
Kuna Taasisi wao hawataki kuchukua watu wa database wao wanataka kuendesha saili zao wenyewe kuanzia mwanzo ndiyo maana unaona hivyo
Ile ya mwanzo hujachukuliwa kwakua hakuna nafasi iliopatikana ikipatikana nafasi sehemu ambayo wanachukua watu database utaitwa
Kwa maana nyingine taasisi ulofanyia mpaka wahitaji watu ndo unaweza kuitwa sio pahala pengine haiwezekani?Basi TBC wakiwa na uhitaji wa haraka wa watumishi wa hiyo kada mliofanyia usaili basi watachukua kwenye database hiyo
Nje ya Mada Mbaga Jr hapo nikichukua hiyo interview serial number niki cross check na majina ya call for interview husika nakupata majina yako pamoja na adress yako, anyway wewe ni mtu safi hujawahi kunitukana 😀😀😀Wakuu
Kwanza nawapongeza na kuwashukuru utumishi kutuletea hii ishu ya kujijua upo database.
Ila mimi nina maswali najiuliza na nashindwa kupata jibu.
Kwangu pako hivi 👇
View attachment 3664512
1. Hiyo ya kwanza, binafsi nilijibu ovyo kinoma, Yn mwnyw natoka kwenye oral najua kabisa nmezingua mana sikujibu maswali mawili mazima, na hayo mengine niliyojibu nilikuwa nabahatisha tuu.
Sasa nashangaa leo niko database 😂
2. Hiyo ya tatu n ya mwezi October 2025, sasa najiuliza, kama nilifaulu na kuwekwa database, imekuwaje sijaitwa kazini na walitangaza nafasi zingine ambazo ndo hiyo namba moja hapo ya June 2026?
Tumetaka wenyewe kuwekewa Status za kuwepo database n.k itabidi tubumilie tuNimekuelewa vizuri sana . ila another flasturation jobless watakutana nayo nipale unaingia kwenye account Yako unakutana na taarifa data base ime - expire .. huu utakuwa mwiba mwingine mchungu sana aisee .. wengi wameweza ku - attend hizo oral wakiwa tayari wameshaingia cost kubwa sana ,, sasa kukutana na taarifa kama hii lazima siku iharibike na inaweza chukue muda kweli ku - recover ..
Ikitokea taasisi nyingine Ikihitaji watu na nyie ndiyo pekee mliopo mnachukuliwaKwa maana nyingine taasisi ulofanyia mpaka wahitaji watu ndo unaweza kuitwa sio pahala pengine haiwezekani?
Chukua tuu na ufanye utakavyo broNje ya Mada Mbaga Jr hapo nikichukua hiyo interview serial number niki cross check na majina ya call for interview husika nakupata majina yako pamoja na adress yako, anyway wewe ni mtu safi hujawahi kunitukana 😀😀😀
Ni ngumu kaka Mara nyingi Namba hazipangwi kwa series huwa wana utaratibu wa kupangaNje ya Mada Mbaga Jr hapo nikichukua hiyo interview serial number niki cross check na majina ya call for interview husika nakupata majina yako pamoja na adress yako, anyway wewe ni mtu safi hujawahi kunitukana 😀😀😀
Sasa mzee, point yako hapa n ipi?Nimekuelewa vizuri sana . ila another flasturation jobless watakutana nayo nipale unaingia kwenye account Yako unakutana na taarifa data base ime - expire .. huu utakuwa mwiba mwingine mchungu sana aisee .. wengi wameweza ku - attend hizo oral wakiwa tayari wameshaingia cost kubwa sana ,, sasa kukutana na taarifa kama hii lazima siku iharibike na inaweza chukue muda kweli ku - recover ..