Hongera mtaalam!Wakuu,nichukue nafasi hii ya kipekee kuwashukuru nyote,pdf ya leo imeniona..kama mnakumbuka tarehe 19 August 2026 tulifanya oral ya Auditor officer ii mwajiri akiwa ni NAOT,hatimaye leo mkeka umetoka na mimi nimo.
Asanten sana
Placement letter umeiona muda gani ? before/after pdf?