HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Sawa, alinionyesha hivi. Halafu katika kugoogle google maana ya hicho kitu kutoka ajira utumishi wa umma ikanileta huku jf ambapo mimi ni member! Jana nilisoma sana comment za huu uzi, na asanteni kwa maelezo, yeye aendelee na kujitolea.

kwanza walianza wengi sana, na ni mara yake ya kwanza
Binti amepangiwa kituo cha Kazi.
Lakini mkeka haujatoka ila kwenye my application ana barua.
 
Back
Top Bottom