Official planner
Senior Member
- Feb 20, 2023
- 179
- 277
Ni siku nyingine tena ya kusubiri Pdf
huo naona ni siri yao. Ila wakitangaza ajira tu tunaruka nao walisema watatumia database hadi iisheNani ana ABC za kazi za TRA mchakato unaisha lini
Mwezi wa tatu Mwaka gani?Nitajuaje kuwa niko database au nimepata kabla ya pdf?
Selected for oral interview mbona imekaa muda mrefu hivyo wakti mimi nimefanya oral tangu mwezi march?
Hakika.Ni siku nyingine tena ya kusubiri Pdf
Uishe mara ngapi?Nani ana ABC za kazi za TRA mchakato unaisha lini
Una mtu unayemfahamu kapigiwa?niliskia wanapiga simu
PDF labda jumatatuHatimae siku imeisha bila pdf 😪😪😪
oya naskia sa hivi mnagombania asali na nyuki uko..🤣🤣Mungu yupo zidi kuomba atafanya wakuu msivunjike moyo nafasi zikitoka zingine ombeni
hapo labda umsubiri aje mkoani kwako kwenye zile kampeni zake ushike mic umweleze..
Nanan kaka tunaegombania naye wakati kila mtu yupo sehem yakeoya naskia sa hivi mnagombania asali na nyuki uko..🤣🤣
hapana hakuna mtu ninayemfahamu niliskia tu wadau wanadiscussUna mtu unayemfahamu kapigiwa?
Hawajatoa week nzima, waje watoe jumamosiJumamosi Pia wanatoaga
hii itakua baada ya nanenane..Hawajatoa week nzima, waje watoe jumamosi
Taasisi nyingi zinasubiri ziingiziwe bajeti ya 2026/2027Hatimae siku imeisha bila pdf 😪😪😪
Inavunja moyo kuendelea kuwasubiri hao utumishi.SMS ya mwisho ijumaa,aisee kweli vijana mmekata tamaa