El marabiosh
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 3,070
- 6,469
itakua databaseWamempanga Taasisi ambayo hakuomba kazi.
itakua databaseWamempanga Taasisi ambayo hakuomba kazi.
ndo maana ya database hiyo hakubahatika kupata taasisi aliyoomba kukapatikana nafasi kwingine ndo anawekwaWala hajakaa kwenye database ni alifanya interview mara moja tu.
ajabu amepangiwa taasisi nyingine tofauti na aliyoomba kazi.
we umejuaje kama hakukaa databaseWala hajakaa kwenye database ni alifanya interview mara moja tu.
ajabu amepangiwa taasisi nyingine tofauti na aliyoomba kazi.
Aliomba nafasi gani,amepangiwa nafasi gani taasisi gani,na amesomea kitu gani?Wamempanga Taasisi ambayo hakuomba kazi.
Mwanangu hii kitu inayoitwa cooperative officer ii ni hakuna kitu kabisa..mapdf yanatoka na pages kibao ila cooperative officer hamna kitu...
Wakati wa Mungu ukifika hamna wa kuzuia, kuna jamaa alikua kwenye database ya tra kaitwa na pdf la leo ameitwa
Uhasibu.Aliomba nafasi gani,amepangiwa nafasi gani taasisi gani,na amesomea kitu gani?
alifanya interview mwezi wa 6, 2026we umejuaje kama hakukaa database
Ok. Ni vizuri lakini.ndo maana ya database hiyo hakubahatika kupata taasisi aliyoomba kukapatikana nafasi kwingine ndo anawekwa
Ataenda hakuna namna, taasisi binafsi zinachallenge zake. Serikali at least japo huwa wana sallary kiduchuInatokeaga hiyo, aende akaripoti chapu
taasisi aliyofanyia interview tayari lakini walishaita yeye akawa bado sio?alifanya interview mwezi wa 6, 2026
mradi cheque number tu mpe pongezi nyingiOk. Ni vizuri lakini.
Nimeambiwa hata hiyo haaiko vibaya
Mbona mwezi wa sita hakuna interview yoyote ya uhasibu iliyoendeshwa na psrs?nafasi za uhasibu interview zake zilifanyika mwezi march kama sikosei..alifanya interview mwezi wa 6, 2026
Mbona wewe hii yako iko tofauti na zetu?Mkuu kuna pisi yangu moja imefanya imeingia kwenye oral ila ndio hatujui chochote. Tizama hii picha then utusaidie hapo amepata au amekosa?
Hapo mwisho baada ya Oral ndio kuna Completed.
hakuna maelezo mengine
View attachment 3619687
Pdf ya Leo imeniona aisee
Hongera sana, ukawe mtumishi mwema ndugu🙏Alhamdulillah hatimaye na mimi nimeitwa kazini leo, wapendwa I hope kila mtu atapata