Kama una watu watumie kwa wakati huu. Mwendo wa connections tuKatika watu sina imani nao ni hawa,
Tunampataje huyo mwigulu🥱nimegundua hizi ajira bila msaada wa mwigulu nchemba ni sawa na kujaza maji kwenye tenga... 🤣 🤣
Siku hizi unatema points tu!Hapo hapo ndio vijana wengi tunakwamia
Ndio nina rafiki hakupita huko!Hivi TANESCO unaweza pata ajira moja kwa moja bila kupitia Utumishi?
Hoii🥹Wasomi hi
hapo labda umsubiri aje mkoani kwako kwenye zile kampeni zake ushike mic umweleze..Tunampataje huyo mwigulu🥱
My pride can’t 🤭hapo labda umsubiri aje mkoani kwako kwenye zile kampeni zake ushike mic umweleze..
Ww tena naona nyuz za kukusifia urembo kila week madam hongeraSiku hizi unatema points tu!
Najianzishia mwenyewe 🤪Ww tena naona nyuz za kukusifia urembo kila week madam hongera
Awee thubutu una ID ngapi??Najianzishia mwenyewe 🤪
Wenyewe wanasema sio walimu ni wakufunzi/ wahadhiri. Wanadai hawafundishi bali wananoa mafuture experts 😃Tunatofautina muktadha mm naongelea majina ya kiserikali kwa kazi rasmi, kuna teacher grade A, B , C kuna tutorial assistant, assistant lecturer na lecturer hivo ni vyeo tofauti hata kama wote mnafundisha
20 😂Awee thubutu una ID ngapi??
Ngoja wazijue wauzinganishe20 😂
Nitalia mno🥹Ngoja wazijue wauzinganishe
Vip lkn kwema huko ulipoNitalia mno🥹
Kwema kabisa sijui wewe!Vip lkn kwema huko ulipo
Mungu mwema sana vip pdf zinasema nini??Kwema kabisa sijui wewe!
Hata sijui mkuuMungu mwema sana vip pdf zinasema nini??