Official planner
Senior Member
- Feb 20, 2023
- 179
- 277
Mungu anasaidia tumeweza kufika siku nyingine ya kusubiri pdfMmeamkaje jobless
Mungu anasaidia tumeweza kufika siku nyingine ya kusubiri pdfMmeamkaje jobless
Moja ya kada ambayo haina stress kupata ajira ni udereva, ukifika oral moja tu check number uhakika, hata kama hiyo taasisi ulifanya interview hawajakuita kazin basi utaitwa kwenye taasisi nyingineMadereva na Wale waendesha ofisi😃
wazee wa haki na usawa wameweka uso wa mbuzi..Week hii No PDF aisee
wale ni kama tanesco tu hawatangaziHivi ewura wanatumia ajira portal kutangaza kazi? Mbona job zao hazitangazwi?
Kwahyo mtumishi kutoka taasisi yoyote hawezi kuhamia kule kama wanajitegemea?wale ni kama tanesco tu hawatangazi
kuna muda ewura walitangaza nafasi za kuhamia kwa watumishiKwahyo mtumishi kutoka taasisi yoyote hawezi kuhamia kule kama wanajitegemea?
Kumbe inawezekanakuna muda ewura walitangaza nafasi za kuhamia kwa watumishi
Na wenzao Nhif sijawahi ona ajira zaoHivi ewura wanatumia ajira portal kutangaza kazi? Mbona job zao hazitangazwi?
Na kuna wenzao nssf,wcf na psssf..yani huko wamejazana ndugu na watu wa dini moja tu.Na wenzao Nhif sijawahi ona ajira zao
Hata hayaoni aibu, yaone yalivyowako zanzibar
View attachment 3630455
leo tar 16 wanaleta habar za sabasaba.hapo wakitoka watavuta mpaka nanenane 🤣 🤣Hata hayaoni aibu, yaone yalivyo
Kazi kweli kweli.Na kuna wenzao nssf,wcf na psssf..yani huko wamejazana ndugu na watu wa dini moja tu.
Yananenepeana tuleo tar 16 wanaleta habar za sabasaba.hapo wakitoka watavuta mpaka nanenane 🤣 🤣