HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Hivi inakuaje mfano nafasi zimetangazwa 70,badala watoe mkeka wote wa watu 70,wao wanakua wanatoa kidogo kidogo?
Hii huwa inasababishwa na nini?
 
Back
Top Bottom