HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Hivi kumbe kuna watu baada ya oral interview accounts zao huwa zinaandikwa not selected for oral interview?
Kuna mwamba alipiga accounts officer ii mwezi wa 4 huko kaingia leo kwenye account yake kakuta kaandikiwa not selected for oral interview na wakati mpaka kufikia jana ilikua inasoma selected for oral interview.
wee jamaa umesababisha nikachungulie kwenye account yangu,

nimeikuta ile ile selected for oral ya kijani
 
Hivi kumbe kuna watu baada ya oral interview accounts zao huwa zinaandikwa not selected for oral interview?
Kuna mwamba alipiga accounts officer ii mwezi wa 4 huko kaingia leo kwenye account yake kakuta kaandikiwa not selected for oral interview na wakati mpaka kufikia jana ilikua inasoma selected for oral interview.
Seriously??
 
Uzushi Mimi Kuna watu Nina account zao selected for oral ya kijani kabisa na wamekosa
 
Hivi kumbe kuna watu baada ya oral interview accounts zao huwa zinaandikwa not selected for oral interview?
Kuna mwamba alipiga accounts officer ii mwezi wa 4 huko kaingia leo kwenye account yake kakuta kaandikiwa not selected for oral interview na wakati mpaka kufikia jana ilikua inasoma selected for oral interview.
Bye bye hiyo inaitwa ndoige ajipange next time aloooh
 
Back
Top Bottom