HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
naomba kuuliza hivi watu wakishapangiwa vituo vya kazi, nawewe ujafanikiwa kupata kituo cha kazi na kama ikitokea upo kwenye database je unaweza ukawekwa kwenye mkeka unaofata kwa kada nyingine ambazo taaluma yako inafiti? au walio kwenye database huanza kuitwa baada ya muda gani ?
 
Hivi mliolamba asali..
Status zenu ziko vipi?
Maana kwangu selected for oral mpaka leo.
Jiandae kupokea Placement
Kuna mwanangu Week mbili baada ya Interview Status yake ilibadilika yangu ikabaki kama yako.
 
Hivi kumbe kuna watu baada ya oral interview accounts zao huwa zinaandikwa not selected for oral interview?
Kuna mwamba alipiga accounts officer ii mwezi wa 4 huko kaingia leo kwenye account yake kakuta kaandikiwa not selected for oral interview na wakati mpaka kufikia jana ilikua inasoma selected for oral interview.
 
Back
Top Bottom