Isenye
JF-Expert Member
- Dec 22, 2024
- 1,873
- 4,911
Nilipita jana,nikajaribu kuwauliza baadhi ya maswali kama vile nikitaka kujua kuwa niko database ntajuaje,wakanijibu wako mbioni kuanza kuwa wanatoa marks za oral public,na pia wako katika mchakato wa kurekebisha mifumo yao ili pale mtu anapofanya oral akafaulu mfumo uwe unamuandikia kama kafaulu,kafeli au yuko database ili kuondoa sintofahamu kwa wasailiwa.Kama upo Dar es Salaam nenda kwenye maonyesho ya sabasaba wana Timu yao pale utasaidiwa