El marabiosh
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 3,048
- 6,413
wewe upo kada ganiWatakua wameziweka saivi
wewe upo kada ganiWatakua wameziweka saivi
FORM SIX 99.2% WAMEFAULU, UNATEGEMEA UTUMISHI IMUITE. NANI IMUACHE NANI?Wanajamvi,
Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
Ina maana madaktari waliisha kwenye database yao mpaka wanatangaza upya?kuna ajira za madaktari zimetangazwa
hawa huwa hawaeleweki usikute hili tangazo wamefocus kuja kuwaajili baadae hukoIna maana madaktari waliisha kwenye database yao mpaka wanatangaza upya?
mkuu uko makin 🤣 🤣Kuna PDF huko
Naanza kurithi mikobamkuu uko makin 🤣 🤣
Leo pdf mbili zimeshiba, ila mimi nipo fungu la kukosaNaanza kurithi mikoba
Cooperative officer iiwewe upo kada gani
wengi tu tumekula za uso utumishi hawacheki na wowote
bora hata we kada yako wanatoa pdf inatia matumaini wengine hapa baada ya miezi miwili ndo wanatoaCooperative officer ii
Sisi bado pdf yetu mkuubora hata we kada yako wanatoa pdf inatia matumaini wengine hapa baada ya miezi miwili ndo wanatoa
Hongera zao!Naona pdf ya leo accounts officer na economist wamekula mashavu
Amen!Eeh Mungu baba, naomba nami unikumbuke katika hizi baraka za ajira....roho inaumia kuomba kazi bila mafanikio.
Kama umefanya oral,zidisha maombiEeh Mungu baba, naomba nami unikumbuke katika hizi baraka za ajira....roho inaumia kuomba kazi bila mafanikio.
Cooperative officer II wanatoa mdogo mdogo sanaCooperative officer ii