Siamini kwenye miujizaWabongo na miujiza hapa ungekula sadaka lako kiulainii..!
Naamini kwenye neema.
Mwenyezi Mungu atamkirimia kila mmoja kwa wakati wake.
Siamini kwenye miujizaWabongo na miujiza hapa ungekula sadaka lako kiulainii..!
Ndio ukienda pale tambukareli watakupa barua yako. Lengo la kuweka barua kwenye acc yako lilikuwa kukuondolea usumbufu wa kufunga safari hadi Dodoma pasipo na sababu za msingi.naomba kuuliza wana JF mimi account yangu ya ajira portal ili collapse kwa maana kwamba siwez kulog in siwezi kufanya chochote.
Kabla ya hilo tatizo nilifanya oral interview ya kazi fulani, sasa naomba kuuliza je,? ikitokea nimepangiwa kituo cha kazi naweza kuipataje barua maana siwezi kuingia kwenye akaunti yangu.
Je? kuna uwezekano nkishapangiwa kituo nkaenda Dodoma kwenye ofisi za utumishi nkapewa barua?
Msaada wenu ndugu zangu
nashukuru kwa majibu yako naomba usichoke kunielekeza.Ndio ukienda pale tambukareli watakupa barua yako. Lengo la kuweka barua kwenye acc yako lilikuwa kukuondolea usumbufu wa kufunga safari hadi Dodoma pasipo na sababu za msingi.
Kuna vitu viwilinashukuru kwa majibu yako naomba usichoke kunielekeza.
Je?, utumishi hawana ofisi huku mikoani tofauti na Dodoma?
Hawananashukuru kwa majibu yako naomba usichoke kunielekeza.
Je?, utumishi hawana ofisi huku mikoani tofauti na Dodoma?
Imani ni somo pana sana mjubaSiamini kwenye miujiza
Naamini kwenye neema.
Mwenyezi Mungu atamkirimia kila mmoja kwa wakati wake.
Wapigie simu wakuwekee sawa acc yako, simple!naomba kuuliza wana JF mimi account yangu ya ajira portal ili collapse kwa maana kwamba siwez kulog in siwezi kufanya chochote.
Kabla ya hilo tatizo nilifanya oral interview ya kazi fulani, sasa naomba kuuliza je,? ikitokea nimepangiwa kituo cha kazi naweza kuipataje barua maana siwezi kuingia kwenye akaunti yangu.
Je? kuna uwezekano nkishapangiwa kituo nkaenda Dodoma kwenye ofisi za utumishi nkapewa barua?
Msaada wenu ndugu zangu
Sawa msomiImani ni somo pana sana mjuba
Utumishi kama Wizara wana watu wao karibia maeneo yote yenye ofisi au taasisi za umma/serikali.Hawana
Tupo busy na sabasabaLeo no PDF
sekretariet ya ajiraKuna vitu viwili
Sekretariet ya Ajira
Na Utumishi wizara. Issue yako ipo wapi kati ya hizo sehemu mbili?
Ofisi yao ipo Dodoma karibu na jengo la OSHAsekretariet ya ajira
simu hawapokei ndugu inaita hata saa zima hawapokei nmeshatuma email nyingi ila hawarespondWapigie simu wakuwekee sawa acc yako, simple!
asante kwa taarifa.Ofisi yao ipo Dodoma karibu na jengo la OSHA
Email hawajibu, wapigie mpaka wapokee tafuta namba zao nenda kwenye acc yao ya utumishi huko instagram pia!simu hawapokei ndugu inaita hata saa zima hawapokei nmeshatuma email nyingi ila hawarespond
Kama upo Dar es Salaam nenda kwenye maonyesho ya sabasaba wana Timu yao pale utasaidiwasimu hawapokei ndugu inaita hata saa zima hawapokei nmeshatuma email nyingi ila hawarespond