Me naingiaga saa 6 mchana, saa 12 jioni na saa 5 usikuNishapiga doria kwenye account yangu ya psrs hakuna jipya,ngoja niendelee na mishe zingine mpaka baadae tena ndio nitachunguliamo.
Nasikia Ukithibitishwa kazini ukipambana unahama ila Wengi huwa wanaambiwa mpaka wakae kituoni miaka 3Hivi wakuu baada ya mtumishi kuithinishwa je anaweza kuhama akipambana?
Principle ni miaka 3 lkn kama una Mungu na ni mtaalamu haswa basi lolote linaweza tokeaHivi wakuu baada ya mtumishi kuithinishwa je anaweza kuhama akipambana?
🤣🤣🤣🤣🤣sema kuna hili lidada sijui ni linani pale utumishi nahisi ndo lilinifelisha maana ni lizuri balaa halafu listaarabu. hili ndo lilinifanyaga nijibu swali moja aisee.Mungu aliongezee miaka ya kuishi hapa duniani....
Ndio utuamshe saa 9 jamani 🙄Jobless amkeni tuendelee kufarijiana.
Seran unasemaje kwa hili?Nasikia Ukithibitishwa kazini ukipambana unahama ila Wengi huwa wanaambiwa mpaka wakae kituoni miaka 3
😂 aisee ila haya maisha, kuna muda nawaelewa watumishi wanaojiona makazini, sababu mambo ni magumu sana kwa ground ukiwa hauko kwenye mfumo tayariNishapiga doria kwenye account yangu ya psrs hakuna jipya,ngoja niendelee na mishe zingine mpaka baadae tena ndio nitachunguliamo.
Ndio hivyo kumbe!Siku nyingine Tena, kama mpaka sahivi hujaona barua kwenye akaunti yako, tukutane kesho na hata kama pdf ikitoka Leo we haumo
Kukosa kazi napo ni kazi mkuu...Ndio utuamshe saa 9 jamani 🙄
Dahh😓Kukosa kazi napo ni kazi mkuu...
Kuna mtu jana kapata TBC na anasema barua kaona dakika chache tuu baada ya pdf kuachiwa na alikuwa anaingia tokea asubuhi hakuna kitu.Siku nyingine Tena, kama mpaka sahivi hujaona barua kwenye akaunti yako, tukutane kesho na hata kama pdf ikitoka Leo we haumo
Kikubwa mambo ya utumishi hayana formula jamaa ni hawatabirikiKuna mtu jana kapata TBC na anasema barua kaona dakika chache tuu baada ya pdf kuachiwa na alikuwa anaingia tokea asubuhi hakuna kitu.
Kabisa, mchizi inaonekana kakariri kuwa barua lazima uone tokea asubuhi.Ni punde tuu unaona na pdf hilo hapo.Unaweza leo ukawepo na mpaka sasa usione barua mpaka muda wanaokaribia kuachia pdf...Kikubwa mambo ya utumishi hayana formula jamaa ni hawatabiriki
Mungu atuone sisi vijana na atukumbuke AminaKabisa, mchizi inaonekana kakariri kuwa barua lazima uone tokea asubuhi.Ni punde tuu unaona na pdf hilo hapo.Unaweza leo ukawepo na mpaka sasa usione barua mpaka muda wanaokaribia kuachia pdf...
barua inaweza kuingia muda wowote kuanzia asubuhi saa moja mpaka mwisho wa muda wa kazi ambao ni saa 10.pdf ndo wanaweza kuweka mpaka hata saa 6 usiku....Kabisa, mchizi inaonekana kakariri kuwa barua lazima uone tokea asubuhi.Ni punde tuu unaona na pdf hilo hapo.Unaweza leo ukawepo na mpaka sasa usione barua mpaka muda wanaokaribia kuachia pdf...
Amen ndugu yangu.Mungu atuone sisi vijana na atukumbuke Amina