Cymon Taylor
JF-Expert Member
- Apr 3, 2019
- 1,762
- 3,446
Kila la kheri wanangu wote mnaopambana na show za utumishi. Nowdays utumishi pamekuwa pagumu sana!
Itakuwepo vyuo vya kati na vikuu vyote vina hawa watu kk aminIla sidhani kama examination officer Ina database kwa sisi tulosoma education
Tufanye nini kuleta urahisi pengineKila la kheri wanangu wote mnaopambana na show za utumishi. Nowdays utumishi pamekuwa pagumu sana!
Haahaa pole mkuu aptitudes ni changamoto kwa wengi ni pata potea tu kwakweli.Kaka ilikua pepa yangu ya kwanza kufanya ilinigaragaza kwa point nyingi hata ilioyofuata sikuenda kabisa kufanya nilipata 45😄🤣😂
Yeah kk changamoto sana but saa hii naziweza vizur ata nikifail sikosi 75 kwenda juuHaahaa pole mkuu aptitudes ni changamoto kwa wengi ni pata potea tu kwakweli.
English ni shida au tatizo nini mkuu?Naelewa mkuu, mm hua nazingua kwenye oral tuu Ndo naendelea kujifua
Sasa huyo mlemavu wa macho ataweza kweli kutunga paper au siasa tu?We umejuaje mkuu, ni kweli aliepata alikuwa mlemavu wa macho
Ww ulishawahi kufika oral na ukapata kazi?English ni shida au tatizo nini mkuu?
Ndo kwanza mwaka huu nimetinga mbili..English sio shida kwangu mkuu.nasubiri majibu yao.Ww ulishawahi kufika oral na ukapata kazi?
Umepata kazi?Ndo kwanza mwaka huu nimetinga mbili..English sio shida kwangu mkuu.nasubiri majibu yao.
Mkeka wetu bado haujatoka mpaka sasa.Umepata kazi?
Ukishatoka, ni tag ili nikupe jibu la swali lako kwamba shida n English au vpMkeka wetu bado haujatoka mpaka sasa.
UsikondeUkishatoka, ni tag ili nikupe jibu la swali lako kwamba shida n English au vp
Jomba umenikatisha tamaa, nina oral 3 nikaona nimemaliza, kumbe naweza chinjwa zote 😅Ww ulishawahi kufika oral na ukapata kazi?
Kazi usioijua shida sana. Yule hatungi pepa kkSasa huyo mlemavu wa macho ataweza kweli kutunga paper au siasa tu?
Hata oral 100, unachinjwa fresh kabisaJomba umenikatisha tamaa, nina oral 3 nikaona nimemaliza, kumbe naweza chinjwa zote 😅
Sema pia ndugu yangu kuna hizi mdas na LGAs ni nzuri zaidi ukikaza kuliko single taasisi mfano UDSM lecturer sijui nan nafasi mbili zile kwa kweli ni tightHata oral 100, unachinjwa fresh kabisa