El marabiosh
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 3,079
- 6,508
pamoja broo mie mbona kitambo sana bado nakomaaaaUSIKATE TAMAA NDUGU,MIMI NI SHUHUDA WA HAYA MAMBO.
pamoja broo mie mbona kitambo sana bado nakomaaaaUSIKATE TAMAA NDUGU,MIMI NI SHUHUDA WA HAYA MAMBO.
HILO NA LA VALUES OF CIVIL SERVANTSHili lilikua swali la mwisho kwenye Interview yangu
Nadhani Pia ni swali la msingi sana kwenye Interview za mataasisi
UMEJITAFAKARI HUWA UNAKOSEA WAPI MKUU?Nna oral 5
mfano unatakiwa kulijibu vipi tupe experience mkuu okoa jahaziHili lilikua swali la mwisho kwenye Interview yangu
Nadhani Pia ni swali la msingi sana kwenye Interview za mataasisi
tupeni mwongozo wakuu na hilo la challenges namna sahihi ya kujibuHILO NA LA VALUES OF CIVIL SERVANTS
Hilo la challenges,mimi niliulizwa what do you think are the challenges which you will face while working as..........?ndio nikamention sijui corruption,lack of working tools,interferance from politicians,regular changes in regulations and other blah blahtupeni mwongozo wakuu na hilo la challenges namna sahihi ya kujibu
Basi mtaitwa mkuu yawezekana wana kibali chengine utumishi cha mwaka mpyaWamechukua wa data base kuna jamaa angu alifanya mwezi wa pili za Mda's ameitwa leo na amepangiwa kwenye taasisi ambayo nilifanya usaili juzi
Lakini vibali vilikua vya mwaka unaoishs mkuu?Basi mtaitwa mkuu yawezekana wana kibali chengine utumishi cha mwaka mpya
Kaka Taasisi yako tayari huko wameita jiandae mwez huu trh 22 kuingiziwa salary nakuombea uende dar es salaam kwenye lile jengo lefu la posta linapendeza kweliNafasi 8 candidates 25
Bado awajagusa hata mmoja kakaKaka mkeka umetiki?
Kama ni ile ya CBE, basi ni mlemavu ndio alipewa advantage na Utumishi the moment aligonga 50 tu kazi ikawa yake licha ya wengine kupata marks za juu 70+.Mwezi wa tano wametoa, sisi tulifanya 4/5
Examination officer sio??Kama ni ile ya CBE, basi ni mlemavu ndio alipewa advantage na Utumishi the moment aligonga 50 tu kazi ikawa yake licha ya wengine kupata marks za juu 70+.
ExactlyExamination officer sio??
Naelewa mkuu, mm hua nazingua kwenye oral tuu Ndo naendelea kujifuaUMEJITAFAKARI HUWA UNAKOSEA WAPI MKUU?
Sasa maswali matatu Hujajibu, utajipa matumaini ya kupata kazi?Mbaga Jr mzee wakupanda mnazi kwa kutumia mkono mmoja anajijua akili zake mwenyewe. hapo tayar kashajipa matokeo yake mwenyewe.usikute alienda kwenye interview huku katoka kupanda mnazi..🤣 🤣 🤣
N noma huko kwenye chumba cha usajili 😂inamaana itakua ulijibu ujinga kushinda mimi mbaga hebu acha utani unajua ujinga niliojibu wewe.. 🤣 🤣 🤣
Kaka ilikua pepa yangu ya kwanza kufanya ilinigaragaza kwa point nyingi hata ilioyofuata sikuenda kabisa kufanya nilipata 45😄🤣😂Exactly
We umejuaje mkuu, ni kweli aliepata alikuwa mlemavu wa machoKama ni ile ya CBE, basi ni mlemavu ndio alipewa advantage na Utumishi the moment aligonga 50 tu kazi ikawa yake licha ya wengine kupata marks za juu 70+.
Hongera sana hata mlioenda oral mlipiga hatua ndefu mno mm nilipuyanga aisee mtabaki databaseWe umejuaje mkuu, ni kweli aliepata alikuwa mlemavu wa macho
Ila sidhani kama examination officer Ina database kwa sisi tulosoma educationHongera sana hata mlioenda oral mlipiga hatua ndefu mno mm nilipuyanga aisee mtabaki database