HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Ndio kiongozi, Yani ukiona mpaka sahivi kwenye akaunti yako hamna barua,jua Leo pdf hamna, na hata ikitoka wewe haikuhusu ya Leo, kwasababu wanasema barua inatangulia kabla ya pdf kutoka
Ok sawa hapo nimekuelewa kiongoz kumbe pdf nibadaye sn
Ndio kiongozi, Yani ukiona mpaka sahivi kwenye akaunti yako hamna barua,jua Leo pdf hamna, na hata ikitoka wewe haikuhusu ya Leo, kwasababu wanasema barua inatangulia kabla ya pdf kutoka
 
Ww jamaaa hufai ww upo kwenye system unakula matunda na keki ya taifa unamwambia mwenzio hivyo badala ya kumfariji apambane lkn asiache kutafuta hela sehem nyengine NGOZI NYEUSI WANAFKI SANA SISI.
Soma tena alichoandika, nimemnukuu hapo chini.

Ooh hapo sawa, mimi kwakweli siombi tena hata iweje!
 
Back
Top Bottom