HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Dah natamani na mimi ningekuwa nasubiri pdf kwa shauku ila oral ya April nilizingua vibaya mno mle ndani nahisi panelists walinicheka sanaa nilivyotoka😁😁😁
 
What happened mkuu?,share experience
 
Dah natamani na mimi ningekuwa nasubiri pdf kwa shauku ila oral ya April nilizingua vibaya mno mle ndani nahisi panelists walinicheka sanaa nilivyotoka😁😁😁
Usiwaze mkuu😃
Mimi lile swali la utambulisho nilikumbuka tu jina langu, nikakwama kama sec 50 hivi nikaona panelists wameinama wote wanaandika, nikajiuliza Hawa wazee wanaandika nini wakati mimi siongei
BUT GOD IS GOOD 🙏
 
😁😁😁 ndo hivyo mkuu na mimi kwenye hilo swali nilikumbuka jina tu, ilibidi kwanza nipewe maji ya kunywa
 
Nilitamani kuuliza we mzee unaandika nini?
But Maswali manne yaliyobaki wote walitabasamu tena.
Muda natoka nikakutana na yule b mkubwa alikua anaita candidates akaniambia hujaniangusha
 
Usiwaze mkuu😃
Mimi lile swali la utambulisho nilikumbuka tu jina langu, nikakwama kama sec 50 hivi nikaona panelists wameinama wote wanaandika, nikajiuliza Hawa wazee wanaandika nini wakati mimi siongei
BUT GOD IS GOOD 🙏
😂😂😂 Nafasi zilikuwa ngapi
 
Back
Top Bottom