El marabiosh
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 3,075
- 6,481
tuliozingua tupo wengi tu mkuu mie nililijibu swali la introduce yourself tu lakini nasubiria placement ya mungu mengi.tusubilie kukandwa.. 🤣 🤣Dah natamani na mimi ningekuwa nasubiri pdf kwa shauku ila oral ya April nilizingua vibaya mno mle ndani nahisi panelists walinicheka sanaa nilivyotoka😁😁😁