HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
sijawahi kutana na panel inatabasamu labda ndo mana siitwi hehehhehee
Nilitamani kuuliza we mzee unaandika nini?
But Maswali manne yaliyobaki wote walitabasamu tena.
Muda natoka nikakutana na yule b mkubwa alikua anaita candidates akaniambia hujaniangusha
 
sijawahi kutana na panel inatabasamu labda ndo mana siitwi hehehhehee
Nilivyoanza interview na nilivyomaliza ni Kama watu wawili tofauti.
Nilianza kwa hofu then swali la pili hadi la mwisho nikajibu short and clear na confidence ya Hali ya juu.

Panelists walitoa lile tabasamu la like how?? yani ni kama watu ambao walikua wanatamani kunijua zaidi.
 
Sisi wengine tulikuwa tunaharakishwa hawana muda wa kupoteza, Yani unajiintroduce kidogo tu wanakwambia tayari, kwenye maswali ni mwendo wa chap chap tu
 
Sisi wengine tulikuwa tunaharakishwa hawana muda wa kupoteza, Yani unajiintroduce kidogo tu wanakwambia tayari, kwenye maswali ni mwendo wa chap chap tu
Nadhani utumishi hawahitaji mbwembwe nyingi, swali la ku mention una mention tena short and clear mnasonga mbele, swali la kujieleza elezea Core point tu, baadae subiri pdf.
 
Nadhani utumishi hawahitaji mbwembwe nyingi, swali la ku mention una mention tena short and clear mnasonga mbele, swali la kujieleza elezea Core point tu, baadae subiri pdf.
Check inbox mkuu,nimekutumia ujumbe
 
Sawa mbona wengine wanajibu yote vizuri na hawapati au ni bahati tu
Utumishi wanazingatia vitu vingi sana mfano mavazi me nahisi na kiatu (foengo) niliyovaa ile siku nilionewa huruma Pia,

Maana Nilizuiwa kuingia na kiatu changu muundo wa raba lakini sio raba so ikabidi niazime foengo ya uncle getini.
 
Kiongoz ww hizo pdf unaziona mwenyewe nini coz jana umeleta habari hizo lakin hola acha hizo.
Ndio kiongozi, Yani ukiona mpaka sahivi kwenye akaunti yako hamna barua,jua Leo pdf hamna, na hata ikitoka wewe haikuhusu ya Leo, kwasababu wanasema barua inatangulia kabla ya pdf kutoka
 
Sawa mbona wengine wanajibu yote vizuri na hawapati au ni bahati tu
marks hazitoki kwenye kujibu vizuri tu mzee wangu,wanaangalia confidence,mavazi uliyovaa,mwonekano(unadhifu),namna ya uwasilishaji wa mada,uelewa wa kazi unayoenda kuifanya (kupitia maswali watakayokuuliza).mfano kuna mtu namfahamu aliulizwa what are the factors to consider while working as an Accounts officer ii at .........(jina la taasisi)?akaambiwa ataje five points, yeye kaanza kuelezea job descriptions wakati hilo swali lilikua linataka uelezee zile core values of public servants,yule jamaa mpaka leo hajaitwa kazini na ni mwaka wa pili sasa, ila yeye alikomaa kuwa hilo swali kalipata kwa namna alivyolijibu.
 
Back
Top Bottom