HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Katika mwaka niliofanya usaili ni mwaka huu saili nying zaid ya 8 lkn sijakata tamaa hopes one day mambo yatajipa koz ushindan ni mkubwa mm huwa nahudhuria wakati mwingine ntaenda kushindana
Watu pia ni wengi na passmark inakuwa juu kuna siku nilipata 87 lakini nikaishia kwenye line!
 
Hmm Mimi sina huo uvumilivu! Umri wenyewe unaenda hiyo miakanyote naombaga tu kazi ya serikalini!
Hamna na kipind iki hamna gharama sana imagine unafanyia mkoani kwako mm nipo dsm nafanyia hapa hapa
 
Hamna na kipind iki hamna gharama sana imagine unafanyia mkoani kwako mm nipo dsm nafanyia hapa hapa
Tunabaki kuuguza mioyo tu sio gharama tena! Hopes zina traumatize!
 

Attachments

  • 1EDEF3A5-CCFB-4B02-B320-84983B771609.jpeg
    1EDEF3A5-CCFB-4B02-B320-84983B771609.jpeg
    39.8 KB · Views: 13
Back
Top Bottom