Habari wakuu, nimeona leo tushee pamoja kuhusu muda wa mchakato wa ajira tokea kutanga nafasi hadi barua za kuita watu kazini
Kipengele (x) kinaongelea kutoa matokeo ya usahili wa mahojiano siku 30 baada ya kikao cha bodi.
Note; bodi ya utumishi huwa inakaa mara 4 kwa mwaka kama inavyoelezwa kwenye sheria za uendeshaji mchakato wa ajira
kitu kingine mchakato wa ajira unavyoendeshwa muajiri huwa anatoa muda ambao anawahitaji watu wake hivyo kinacho fanyika utumishi huwa wanafanya usaili mapema zaidi na kukaa na majina hadi bodi itakapo idhinisha.
Baada ya bodi kuidhinisha huwa wanawapangia watu vituo vya kazi pamoja na kuandaa barua.
Kuitwa kazini ni hadi pale ambapo muda ambo muajiri (taasisi) kuwahitaji watu wake umefika ndipo huandaa PDF la kuitwa kazini.
Walipata placemente wanaweza kutupa mrejesho zaidi kuhusu barua na muda barua zao zilisainiwa.
Thanks.
View attachment 2955466