Champion number one
JF-Expert Member
- Dec 17, 2022
- 1,560
- 4,014
Vijana mna mioto sana Utumishi hawaitaji kelele mkipoa mtaona pdf naona mmechaluka balaaa.....
🤔Vijana mna mioto sana Utumishi hawaitaji kelele mkipoa mtaona pdf naona mmechaluka balaaa...
Hv, mnavolalamika hv iliwahi kusaidia hata siku moja?Week imeisha bila pdf la maana kutoka utumishi..
Hivi hawa jamaa wakiwa ofisini kazi zao huwa ni nini sasa kama hata kupublish tu majina wanashindwa?
Bila kuandika andika huu uzi utapotea,maana wenzetu mliolamba asali tayari hamna habari nao tena.Hv, mnavolalamika hv iliwahi kusaidia hata siku moja?
So kulalamika kila wakat ndo kuupa uhai uzi?Bila kuandika andika huu uzi utapotea,maana wenzetu mliolamba asali tayari hamna habari nao tena.
Mbona muda bado upo boss?Kama mpaka sahivi hujaona barua kwa akaunti yako, tukutane kesho 👋
Muda bado kwa ambao barua tayari, ila kama hujaona, Zima data subiri kesho tuMbona muda bado upo boss?
Kwani kuna wenetu barua zinasoma tayari?Muda bado kwa ambao barua tayari, ila kama hujaona, Zima data subiri kesho tu
Badili password kama wanavosema halafu utuambie kama bado kuna shida, Over!Mbona najaribu kuingia kwenye account yangu ya psrs inaniambia nibadili passwords.
Tatizo nini?
Au ndio kuchinjwa kwenyewe huko?
Hakuna shida yoyote ,overBadili password kama wanavosema halafu utuambie kama bado kuna shida, Over!
Kwa nini tena afsa?kwa sasa sina haraka na pdf maana najua hata likitoka simo... 🤣 🤣
Ni sahihi kufanya harakati zingine ila wakitoa post unaruka nayo adi kielewekeTunatiana moyo lkn behind the scene mambo ni tough sana mpaka unaomba poo. Kuacha upumzike kidg uendelee na mambo zingine
we huuoni huu mziki kama ni cd mia saba..??Kwa nini tena afsa?
Kweli kabisa mapambano lazima yaendeleeHakuna kukata tamaa