Sisi wengine laki 8 mkuuKada yangu mm inaanzia 1.2M
Umeanza kuongea kama El marabiosh 😅Kazi na utu bila ajira kweli wakuu?
Hongera pata kazi nije kukaa kwako basi!Kada yangu mm inaanzia 1.2M
Makubaliano unatakiwa kutoa notisi ya siku 28 kabla ya kuondokaKwanini uliuvunja?
Unaachaje mkuu na hujapata sehemu ya kujishikiza?Mimi sitakagi stress kuacha kazi huwa sijiulizi mara mbili🫢
Serikalini hawaeleweki unaweza kuitwa miezi nane mbele!Makubaliano unatakiwa kutoa notisi ya siku 28 kabla ya kuondoka
Ofcourse nakuwa na vyanzo vingine vya kunisogeza sa ntaishije?Unaachaje mkuu na hujapata sehemu ya kujishikiza?
Hiyo ndio shida lakini pia private huwezi kuondoka ghafla labda ukubali kulipa mshahara wa mwezi mmoja ili kuondoka ghaflaSerikalini hawaeleweki unaweza kuitwa miezi nane mbele!
Kama hivyo sawa Mungu aendelee kutupiganiaOfcourse nakuwa na vyanzo vingine vya kunisogeza sa ntaishije?
Kama sio mkubwa unalipa tu bwana!Hiyo ndio shida lakini pia private huwezi kuondoka ghafla labda ukubali kulipa mshahara wa mwezi mmoja ili kuondoka ghafla
Vp ikitokea mwezi huo umepata loss inayozidi mshahara wako na utakiwa kuondoka?Kama sio mkubwa unalipa tu bwana!
Nawatoroka!Vp ikitokea mwezi huo umepata loss inayozidi mshahara wako na utakiwa kuondoka?
😃Tanzania ni ndogo sana na ukishakuwa Civil servant watakupata tuNawatoroka!
Bwana we wananilazimishaje kuwafanyia kazi sasa!😃Tanzania ni ndogo sana na ukishakuwa Civil servant watakupata tu
Saa 16:10 bado bila bilaSaa 16:07 bado kumenuna
Saa 16:24 bado kumenunaSaa 16:10 bado bila bila
Saa 16:45 kumenuna bado, tusubirie j3 tuu hakuna pdf leo.Ni huzuni....Saa 16:24 bado kumenuna