Leonce jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2023
- 3,216
- 5,286
Naenda mwakaleli kwa bibi naondoka na NSSF yangu kaka siondok kizembe hapa mjiniKama kuna sehemu Unafanya kazi usiache mkuu, Subiri siku ukiitwa kuanza rasmi ndio uache, me nimevunja mkataba tangu May,sahizi nafanya vibarua tu kitaa