HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
😃Punguza dharau mkuu, pale kuna madogo wa form IV wanakunja hadi 1M per month japokua Ni wamuda kidogo
Mmh ww si utakunja 2.5 sasa kama form four anakunja hii na degree 4m kabisa lkn jamaa hii ni chai aisee form four akunje M haa kaka nchi ina salary scale hii
 
😃😃😃Noma mzee
Ngoja nisubiri na mm yangu ikitoka tu PDF naanza kusghulikia NSSF chap naacha kazi naenda zangu mwakaleli kwa bibi kula ndizi na magimbi nikisubili mshahara na pesa ya kujikimu
 
Ngoja nisubiri na mm yangu ikitoka tu PDF naanza kusghulikia NSSF chap naacha kazi naenda zangu mwakaleli kwa bibi kula ndizi na magimbi nikisubili mshahara na pesa ya kujikimu
Kama kuna sehemu Unafanya kazi usiache mkuu, Subiri siku ukiitwa kuanza rasmi ndio uache, me nimevunja mkataba tangu May,sahizi nafanya vibarua tu kitaa
 
Back
Top Bottom