Walisema nini hao H.Rs mkuu. Sad story nasikia wastaafu huwa wanaongezewa mkataba hata miezi 6 muda mwingine 1 mpka miaka mi 2 hao ndio mwiba kwa ajira mpya kuanza mapema kazi au nafasi kuwa vacant
Kuna watu bado hawajafanya Interview
Walisema nini hao H.Rs mkuu. Sad story nasikia wastaafu huwa wanaongezewa mkataba hata miezi 6 muda mwingine 1 mpka miaka mi 2 hao ndio mwiba kwa ajira mpya kuanza mapema kazi au nafasi kuwa vacant
Watu mna vismart sana aisee yaani umeaplly moja umeitwa io io mpka kazi wakati kuna njemba mm nimapppy 20 nimeitwa kumi na 8 attend 16 oral interview moja hahahahahahahah nafwaaa haya mambo utumishi konyo mamayoooo au ndio certificate nyie hahahahah
Hongera sana mkuu Mungu yupo😃Maandalizi tu mkuu
Certificate Ndio anaweza kuomba advert 1 na kupata hiyohiyo?Hongera sana mkuu Mungu yupo
Yaeh me nilionaga Placement Letter kwanza pdf ilitoka jioni yake.Barua inaanza kwenya account then PDF. Mungu yupo NIBOO
Hee kumbe mwenzetu umeshaonja asali na bado unaaply tena?🥹Yaeh me nilionaga Placement Letter kwanza pdf ilitoka jioni yake.
Hapana mkuu ndio ajira yangu ya kwanza kuomba gavoo nlikua privateHee kumbe mwenzetu umeshaonja asali na bado unaaply tena?🥹
Kwa kifupi umeomba kazi moja na ukaipata?🫢Hapana mkuu ndio ajira yangu ya kwanza kuomba gavoo nlikua private
Watu wako vizuriKwankifupi umeomba kazi koja na ukaipata?🫢
Shauri yako na komwe lako 😄Kwankifupi umeomba kazi koja na ukaipata?🫢
Sawq tunasubiriLeo PDF Mwendo wa NGILI wakuu kaeni kwa kutulia
Barua inaanza kwanza kwenye mfumo so ingia kwa ACC yako by mapema sanaSawq tunasubiri
Upo sahihiKwa kifupi umeomba kazi moja na ukaipata?🫢
Komwe kama mkuki😂Shauri yako na komwe lako 😄
Utaletea watu trauma wewe🤣🫴🏾Barua inaanza kwanza kwenye mfumo so ingia kwa ACC yako by mapema sana
Duh unamuomba Mungu huyu huyu au kuna sehemu umepita?🤔Upo sahihi