HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Aliekuambia nan UDSM afanane na tengeru kinachingia mwisho wa mwezi mjomba ebu kalale huko
mtaalam hapo UDSM unavyopakuza hakuna cha maana hata, subiri uingie kwenye system ndo utaelewa....msiingie serikalini kwa expectations kubwa sana mtakua dissappointed(within 2-3 years) except kwa wachache wanaobahatika kupata taasisi zinazoeleweka
 
mtaalam hapo UDSM unavyopakuza hakuna cha maana hata, subiri uingie kwenye system ndo utaelewa....msiingie serikalini kwa expectations kubwa sana mtakua dissappointed(within 2-3 years) except kwa wachache wanaobahatika kupata taasisi zinazoeleweka
Toa maelekezo vizur mkuu pakoje na tengeru utofauti wake tuelewe tusiwaonee wivu ma lecturer wa UDSM UDOM NA MZUMBE MUHAS SUA. tukimbilie CDTI UYOLE
 
Hivi Shirika la posta linatumia muda gani kuita watu kazini?

Tangazo la kazi limetoka mwaka jana 8/2025, Usaili wa kuandika tumefanya mwaka huu 3/2026 na Oral interview tumefanya mwezi huo huo March .

Majina (PDF)yametoka 12/05/2026 ambayo ku Report kazini mwisho ilikua tarehe 26 May.
Cha ajabu tumeenda ku Report kazini tukaambiwa turudi nyumbani tutaitwa tena, lakini hadi leo hakuna mtu ameitwa kazini na kazi zetu za mikataba tumevunja tayari mitaani huku.
Pdf ya posta mkuu mbona unanistua sana PDF ipo wapi ya io tarehe 12 mwezi huo position gani umeitwa??
 
Kuna statements jamaa walitoa ile siku ndomana nikasema hivyo
Walisema nini hao H.Rs mkuu. Sad story nasikia wastaafu huwa wanaongezewa mkataba hata miezi 6 muda mwingine 1 mpka miaka mi 2 hao ndio mwiba kwa ajira mpya kuanza mapema kazi au nafasi kuwa vacant
 
Watu mna vismart sana aisee yaani umeaplly moja umeitwa io io mpka kazi wakati kuna njemba mm nimapppy 20 nimeitwa kumi na 8 attend 16 oral interview moja hahahahahahahah nafwaaa haya mambo utumishi konyo mamayoooo au ndio certificate nyie hahahahah
 
Back
Top Bottom